Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.
Nilisha ingia mzima mzima hilo tego.
Bibie alinitongoza muda kwa mrefu, kisha nikaingia line, baada ya uzalendo kunishinda.
Tukatumia condom.
Cha pili akasema hapati raha, condom inamkata raha yake.
Wanaume tu wajinga sana haswa akili ikihamia kichwa cha chini.
Mie huyo , utamu kolea.

Haijapita miezi miwili bibie analakamika haoni siku zake!
Nilichanganyikiwa, bibie anafahamika sana na ndugu zangu na jamaa, isipokuwa familia yangu.
Kumbe yote ilikuwa fiksi, nilivuta pumzi hadi mwezi wa nne, mimba hakuna!
Nikalianzisha!!
Hata hivyo nilitumia pesa nyingi sana kulituliza vumbi maana kwa ndugu zake ilibidi niombe msaada na walinielewa.
 
Nilisha ingia mzima mzima hilo tego.
Bibie alinitongoza muda kwa mrefu, kisha nikaingia line, baada ya uzalendo kunishinda.
Tukatumia condom.
Cha pili akasema haoati raha condim inamkata raha yake.
Wanaume tu wajunga sana haswa akili ikihamia kichwa cha chini.
Mie huyo , utamu kolea.

Haijapita miezi miwili bibie analakamika haoni siku zake!
Nilichanganyikiwa, bibie anafahamika sana na ndugu zangu na jamaa, isipokuwa familia yangu.
Kumbe yote ilikuwa fiksi, nilivuta pumzi hadi mwezi wa nne, mimba hakuna.

😅😅😅
 
Pole sana
 
Naaam kabisa mimi nathibitisha kabisa...mtu anaacha hadi shughuli zake kabisa alizozipambania aje akupe utamu..wiki mbili mbele anakwambia ana ujauzito...🤣🤣🤣🤣
Hapo ndipo wanakosea hadi anakutajia mimba kabla muda haujafika kutokana na issue ya muda hataki breaking news viachane sana
 
Kuna mambo mawili hapo
1. Kafuria
2. Mimba inataka kubambikwa
Very true. Haya yametokea sana. Kuna kiumbe mmoja alinipa shinikizo sana la kumla lakini kama Mungu alikuwa pamoja nami nikawa nimehisi kuna kitu. Maana pressure ya kutaka nimle ilikuwa kubwa akisingizia hajaliwa zaidi ya mwaka hivyo kibubu kimejaa kumbe ana mimba ya miezi miwili. Alikuja ku admit baada ya kujifungua kuwa ningekubali kumla tu basi mtoto aliye naye angekuwa wangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwamba ulikoswa koswa😅😅
 
Au ameona unaweza kuhudumia,Akusogeze karibu ufumuliwe limbwata,me iliwai kunitokea farasi wangu kichwani wakanistua usiende kule utakwisha.kesho yake nikamwambia acha kunishikia dawa utaumia akajichekesha chekesha tu na biashara ikaishia apo
 
Hehehee ukashtuka haa
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.

~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.

~ Kubwa zaidi kuwa makini usiachiwe mimba isiyo yako.

Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate, huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda kalenda unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.

Sasa kama ni mwanamke mpya boya ataanza kujidai kuwa mwanamke kamzimikia, kalagha bahooo!

Wikiendi njema!

Hii ndo ile ukisikia "chupi la bibi kavaa babu"
 
Dry...Nyama Kwa nyama mkuu.....au kutembelea rim.
DRY ina maana nyingi siku izi mtaani mkuu usishangae kauliza, kama hujui "DRY ni bangi huku mtaani" nilishangaa kuskia ivo ila ndo vijana hawa wa kizazi kipya na maneno mapya..
 
Yalitaka kunikuta serious mwaka huu tu mwanzoni taa nyekundu kwenye kichwa changu ikawaka toka lini Debo ana upendo wa dhati hivi mpaka kuniambia maneno mazuri mazuri hivi kulko awali hakua hivi tulkua tunaishi kwa kulazimishana sana! Hivi navoandika sai hapa ana mtoto wa jamaa huko kajifungua miezi kadhaa nikaja kujua nikamwambia kumbe ulkua unanpigia mahesabu tu unibebeshe mzigo usio wangu,.. alivyojitetea sasa ni vichekesho acha tu niishie hapa.
 
Back
Top Bottom