- Thread starter
- #81
Ni kutokana na uzoefu. Mtu mzima tumepitia mengiMkuu, hii umeitolea moyoni hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kutokana na uzoefu. Mtu mzima tumepitia mengiMkuu, hii umeitolea moyoni hii.
Nanukuu [emoji3578]
Nilisha ingia mzima mzima hilo tego.Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.
😅😅😅Nilisha ingia mzima mzima hilo tego.
Bibie alinitongoza muda kwa mrefu, kisha nikaingia line, baada ya uzalendo kunishinda.
Tukatumia condom.
Cha pili akasema haoati raha condim inamkata raha yake.
Wanaume tu wajunga sana haswa akili ikihamia kichwa cha chini.
Mie huyo , utamu kolea.
Haijapita miezi miwili bibie analakamika haoni siku zake!
Nilichanganyikiwa, bibie anafahamika sana na ndugu zangu na jamaa, isipokuwa familia yangu.
Kumbe yote ilikuwa fiksi, nilivuta pumzi hadi mwezi wa nne, mimba hakuna.
Nikalianzisha!!
Hata hivyo nilitumia pesa nyingi sana kulituliza vumbi maana kwa ndugu zake ilibidi niombe msaada na walinielewa.
Pole sanaNilisha ingia mzima mzima hilo tego.
Bibie alinitongoza muda kwa mrefu, kisha nikaingia line, baada ya uzalendo kunishinda.
Tukatumia condom.
Cha pili akasema haoati raha condim inamkata raha yake.
Wanaume tu wajunga sana haswa akili ikihamia kichwa cha chini.
Mie huyo , utamu kolea.
Haijapita miezi miwili bibie analakamika haoni siku zake!
Nilichanganyikiwa, bibie anafahamika sana na ndugu zangu na jamaa, isipokuwa familia yangu.
Kumbe yote ilikuwa fiksi, nilivuta pumzi hadi mwezi wa nne, mimba hakuna.
Nikalianzisha!!
Hata hivyo nilitumia pesa nyingi sana kulituliza vumbi maana kwa ndugu zake ilibidi niombe msaada na walinielewa.
Hapo ndipo wanakosea hadi anakutajia mimba kabla muda haujafika kutokana na issue ya muda hataki breaking news viachane sanaNaaam kabisa mimi nathibitisha kabisa...mtu anaacha hadi shughuli zake kabisa alizozipambania aje akupe utamu..wiki mbili mbele anakwambia ana ujauzito...🤣🤣🤣🤣
Very true. Haya yametokea sana. Kuna kiumbe mmoja alinipa shinikizo sana la kumla lakini kama Mungu alikuwa pamoja nami nikawa nimehisi kuna kitu. Maana pressure ya kutaka nimle ilikuwa kubwa akisingizia hajaliwa zaidi ya mwaka hivyo kibubu kimejaa kumbe ana mimba ya miezi miwili. Alikuja ku admit baada ya kujifungua kuwa ningekubali kumla tu basi mtoto aliye naye angekuwa wangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mambo mawili hapo
1. Kafuria
2. Mimba inataka kubambikwa
Mwamba ulikoswa koswa😅😅Very true. Haya yametokea sana. Kuna kiumbe mmoja alinipa shinikizo sana la kumla lakini kama Mungu alikuwa pamoja nami nikawa nimehisi kuna kitu. Maana pressure ya kutaka nimle ilikuwa kubwa akisingizia hajaliwa zaidi ya mwaka hivyo kibubu kimejaa kumbe ana mimba ya miezi miwili. Alikuja ku admit baada ya kujifungua kuwa ningekubali kumla tu basi mtoto aliye naye angekuwa wangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunapigwa sana tu.😀😀 mmestukaaaaa hamtaki kupigwa
Hehehee ukashtuka haaAu ameona unaweza kuhudumia,Akusogeze karibu ufumuliwe limbwata,me iliwai kunitokea farasi wangu kichwani wakanistua usiende kule utakwisha.kesho yake nikamwambia acha kunishikia dawa utaumia akajichekesha chekesha tu na biashara ikaishia apo
Hahaha kazi kweli kweli hawa viumbeHujakosea,hasa kwenye namba moya!
😆😆 hatari sanaTunapigwa sana tu.
Mwanamke kiumbe mwingine bana!!
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.
~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.
~ Kubwa zaidi kuwa makini usiachiwe mimba isiyo yako.
Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate, huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda kalenda unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.
Sasa kama ni mwanamke mpya boya ataanza kujidai kuwa mwanamke kamzimikia, kalagha bahooo!
Wikiendi njema!
DRY ina maana nyingi siku izi mtaani mkuu usishangae kauliza, kama hujui "DRY ni bangi huku mtaani" nilishangaa kuskia ivo ila ndo vijana hawa wa kizazi kipya na maneno mapya..Dry...Nyama Kwa nyama mkuu.....au kutembelea rim.