Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Yashawahi kunikuta hivi....................

Ina maana nilikuwa naandaliwa pigo?
 
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hivi wanawake huwa hampatagi hamu? Maana yake ukimwambia mtu unahitaji mara nyingi utakuwa na sababu zako nyingine kabisa..., hebu tueleweshe ndugu.
 
Huo ndio ubaharia sasa tunaosema😅😅
 
pole sana mkuu naona umepigwa na kitu cha tan5
 
Fomula ni kuzuia wazungu na beki 10 yaani ndomu!,ili usije ukasingiziwa panya road ni wako!akisema ndomu ilupasuka hapo sana inabidi mgawane majengo ya serikali [emoji851]
😅😅😅😅
 
Au akutie nuksi ili jambo zuri lisitokee
 
Hamna jema, tukitulia kama gogo mnasema, tukiwaambia maneno matamu pia mnahisi mtego aah acheni hizo kwani hizo nyege mmeumbiwa nyie tu?😛
Hapa tu kuna mtu kaanza jana nikajifanya nimekausha nampa ratiba za hapa na pale. Leo kanichana anataka nimpe hela. Nikajua ahaa kumbe hicho ndio kilikuwa kinatafutwa na sio nyege tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…