Polisi, au policcm!!
Na vipi kuhusu sisi ambao hatutashiriki kwenye hayo maigizo yao! Watatufanya nini?
Wakubali kwanza kufanya maboresho ya msingi (na siyo hayo ya kiini macho), Chadema waruhusiwe kushiriki bila ya masharti ya kipuuzi, wamuachie Lissu gerezani! Halafu tuone kama kuna mtu atashawishiwa asipige kura.