GE2025 Ukiona mtu anahamasisha watu wasipige kura piga simu Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kupiga kura ni hiari, jambo lolote la hiari linahitaji ushawishi ili ulitekeleze au kutolitekeleza, kama njia halali zinatumika kushawishi watu wasipige kura basi hauwezi kuwakamata wanaoshawishi watu wasipige kura🐼
 
Nepal sio peponi ni hapa hapa ardhini aka dunian

Wajinga kama ninyi pia walikuwepo leo wanalia kama mbwa
 
Kupiga kura ni hiari, jambo lolote la hiari linahitaji ushawishi ili ulitekeleze au kutolitekeleza, kama njia halali zinatumika kushawishi watu wasipige kura basi hauwezi kuwakamata wanaoshawishi watu wasipige kura🐼
Kupiga kura ni haki ya msingi ya kila raia. Kama hamuwapendi wagombea wa CCM nendeni mkawapigie kura wagombea hata NLD.
 
Back
Top Bottom