Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Katika dunia tuna matabaka matatu yaani. Crust mentol na core... Sasa nataka kujua je katika uchimbaji wote huu je ishawahi watu kufika tabaka la kati yaani mentolNafikiri haujaweka swali lako uzuri mkuu...
Ama pengine nikijibu kwa ujumla niseme, kwenye migodi kuna tofauti ya kina hasa kutokana na miundombinu inayo jengwa kwa mujibu wa exploration report.
Explosion report ndio huamua kwamba mgodi uende chini kwa kina cha urefu wa mita ngapi
Dahhhh....Kwa kujidanganya na hoja ya mleta mada kwa hao jamaa ngoma ni nje nje.
aaa wapi mkuu, ngoja niingie kiwanjani nikapige angalau chupa mbili tatu nirudi kwenye kiota hanguWe jamaa una utoto mwingi πππππ
Leo huku kwetu amekuja chinno wana manaaa wapi mkuu, ngoja niingie kiwanjani nikapige angalau chupa mbili tatu nirudi kwenye kiota hangu
Kuna manzi ilikuwa na cheo senior mgodini, ilinitesa kimapenzi, nili enjoy mapenzi miezi ya kwanza, baada ya hapo ikata anza nifanye kama Mario π π ... Hakuamini nilimtupa kama uchafu.. sipendi madharau .. sema ni muhuni sana nilikuja jua badaeDahhhh....
Umenikumbusha amina kistuli mshangazi wa kwendraaaa alikua ana sehem zake za nyuma toka kwa mama Tuwa muuza msosi hadi Kibasini Bar....π
R.i.P Mke wa Rasta...π₯
Kijana kijanaLeo huku kwetu amekuja chinno wana man
Nendeni mkafurahi sio kila siku kuwaza mifuko ya simenti tu, kuishi ni muhimu pia.Leo huku kwetu amekuja chinno wana man
Ukinitajia kitengo na mwaka nitakutajia jina lake..π€£Kuna manzi ilikuwa na cheo senior mgodini, ilinitesa kimapenzi, nili enjoy mapenzi miezi ya kwanza, baada ya hapo ikata anza nifanye kama Mario π π ... Hakuamini nilimtupa kama uchafu.. sipendi madharau .. sema ni muhuni sana nilikuja jua badae
π π π π Mtoto machachariUkinitajia kitengo na mwaka nitakutajia jina lake..π€£
Sahihi kabisa, kuna supervisor somewhereMining ilianzia Gang leader, Shift boss, Superintendent, Development and Production managers na Mining manager ambae alireport kwa General manager
ππππshantantanta shantantaaa ya chunyanga singidan field to hq procu officer senior
π π Sambaru - London penyewe Kuna visu vya kienyeji vya hatari sana kule, kuliko hawa broiler.. dogo mwenyewe ana 37.. ana uzingu mwingi, alinishawishi sana Tulane uraia watanzania.. ila mwanzo wa penzi nilikubali ila badae nikashtuka alivyo anza movie zakeππππ
Singida, Puma, Ikungu, London...... dahhh ulikula mema ya dunia aiseee
Kilikua na rangi yake Mashaallah...ππ π π π Mtoto wa kirangi na kimburu machachari kweli kweli alafu ana dharau
Pia kuna sisi ma graphics design tunafanya kazi ngumu sana just imagine mi leo nimekaa masaa matatu na computer tu toka nilivokunywa chai nakuja kumbuka kula mchana sa tisa..
Enough na hapo baada ya kula sa tatu usiku kazi kazi tena hapo kulala.mpaka sa tano usiku... Na ulali vzri sa mbili asbhi unaamka kazi inaanza tena hapo kula utakula kwa kujinyima chapati na mayai na maziwa kiasi
Mchana ndo kabisa unagusa gusa kuna watu wanateseka nyie acheni tu
Ila nimemchungulia sana sema ubabe wake ndio ulinifanya nikae bench , maana sikuwa na hela akataka panda kichwani, nikaja pita masaki ofisini kwao, nika mtest ili tukumbishie aliwaka huyooo π€£π€£π€£π€£ Hadi nikakata simuKilikua na rangi yake Mashaallah...π
Binti alikua mrembo balaa...π
Buly ya mwaka gani mkuu hapo nilikuwepo mwa 2023Shift boss, ganger, superintendent, supervisor ni baadhi ya maneno maarufu Buly enzi hizoπ€£π€£
Heri ngoma kuliko kisukariKwa kujidanganya na hoja ya mleta mada kwa hao jamaa ngoma ni nje nje.