Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

Hiyo ni mindset ya kipumbavu sana. Kwamba kwa sababu unafanya kazi ngumu ndo hela zako utumie hovyo? Kama unalipwa pesa nyingi wekeza na zingine tunza. Hizo kazi za kutumia nguvu ni za kustaafu mapema. Elimu ya fedha ni muhimu sana kwa mtu kama wewe.
Kati anayetumia pesa yake kwa uhuru nawewe ambaye hiyo pesa haikuhusu nani mpumbavu?
Huo ushauri uliombwa?

Hivi mtu akitumia laki5 kwenye bata kwa mwezi mzima wewe unaona nongwa kwa lipi?
 
Shetani kahifadhi siri zenu nyingi sana akiachia connection hakika kesho yake unatangaza kuokoka na ubatizo wa moto kabisa
 
Kati anayetumia pesa yake kwa uhuru nawewe ambaye hiyo pesa haikuhusu nani mpumbavu?
Huo ushauri uliombwa?

Hivi mtu akitumia laki5 kwenye bata kwa mwezi mzima wewe unaona nongwa kwa lipi?
Wewe ni mtu usiyejiamini ndo maana unapanik kifala. Kupewa ushauri wa kutotumia hela hovyo sio jambo baya kiasi cha kukufanya upanik. Na hiyo panic yako inaonyesha hata wewe unajua unachokitetea ni upumbavu
 
Ugalatia kama wote.

Kuna kaburu lilinitunuku eden yte bila sharti lolote hata ule mti wa kujua mema na mabaya liliniambia nipite pite si mbaya nikaogopa sana hadi mnara ukapoteza network.

Siku moja tukasepa nalo tena Angel beach ya mji fln huko paradiso daaah haya bana
 
Wewe ni mtu usiyejiamini ndo maana unapanik kifala. Kupewa ushauri wa kutotumia hela hovyo sio jambo baya kiasi cha kukufanya upanik. Na hiyo panic yako inaonyesha hata wewe unajua unachokitetea ni upumbavu
Sikia mkuu kila starehe ina level yake. Watu wa migodini wanasemwa sana kuwa ni wazee wa starehe sasa wewe kama unaona wakitumia hela zao wewe inakuuma kaa na watu wa osha karibu uwaulize miner anavyo athirika na hizi kazi za mgodini
 
Everything has a price to pay .

Kumpatia MTU ushauri ni muhimu kwakuwa unapofanya Kazi you have to think about ur life .

Hauwezi kuwa unafanya Kazi ngumu kama hiyo na unaishia kuwa Skirt Chaser , and etc .
Uko sahihi lakini kama hujaombwa huo ushauri sio sahihi
 
Sikia mkuu kila starehe ina level yake. Watu wa migodini wanasemwa sana kuwa ni wazee wa starehe sasa wewe kama unaona wakitumia hela zao wewe inakuuma kaa na watu wa osha karibu uwaulize miner anavyo athirika na hizi kazi za mgodini
Kwanza kabisa huwa sishauri mtu hovyo. Uwe miner au fani nyingine sitakushauri hadi utake nikushauri. Na ukiona mtu anashauri kitu chenye manufaa badala ya kupanik kaa chini tafakari. Miners wanashauriwa kwa nia njema ya kujenga kesho yao na sio vinginevyo. Wewe hoja yako ni dhaifu mno kwamba mnafanya starehe kisa kazi ngumu. Sasa kama kazi ni ngumu si utunze na kuwekeza unachopata ili uondoke kwenye hiyo kazi baada ya miaka michache?
 
Na wale wanaochimba mashino madogo, halafu wanayashikiza na miti.

Wale mashimo yao huenda kwa urefu gani?? Maana ni madogo na wanayachimba kwa mkono sio hayo mavifaa mazitomazito hata kuingia tu hayaingii.
Wale hawaendi mbali huwa wanatekenya tu.Hata mita 50 ni ngumu kuzifikia bila vifaa vya kisasa kwa wengi hukimbia maji tu wakiyafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…