Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

Na mimi wa bajaji nina kazi ngumu imagine huwezi kula mpaka upate hesabu ya boss na mafuta ya kutafutia posho yako
 
Mkuu kwa sasa wengi wamepata fundisho baada jpm kuifunga migodi wengi wamenyooka sana sio kama zamani zile.... Shida ipo kwa watu bado wana element zilezile za zamani wakikuona unachoma kuku basi ushauri unakuwa mwingi kama umeuomba
 
WACHIMBA KWA MKONO BATA LAO HUWEZI LISOGELEA.

wale ndo huwa wanafujo sasa wanaweza fika bar watu sita tu wakafukuza watu wengine yani mnanunuliwa pombe muondoke hapo
 
Nchi hii uhuru umezidi aisee ,
Hadi anaebonya bonya kibodi nae analalamika KAZI yake ngumu😂
Mkuu sio nalalamika umeona the way nimeweka mchanganuo hapo...
Nalala sa sita sijalala vzri saa mbili asbhi nadamka nakaa kwenye kiti masaaa zaidi ya matatu...
 
Wazee wa laki moja haijengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…