Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Dah... Wakati mtaani wanawake ndo wanateseka kuliko wanaume, sema sisi tunasema popote mwanaume anaona huku mtandaoni ndo safi kwasabu hajulikani

Sasa mkiongeza na viburi vya huku tuta teseka sana maana sio kila mtu anaweza kua dikteta mzuri😊 kama vipi na wanyonge wawepo tu.. Isizidi tu
 
Hamnaa kitu kama hiyo
Una miaka 30/35/40 oa mwenye miaka 19/20 mbuluze kidikteta heshima, utii na nidhamu itakuepo hapo akizingua tia makofi mnyooshe.. sio una miaka 25 unaoa miaka 24 au 25 mwenzako na mbaya zaidi awe decent yaan kapigwa msasa unataka muendesha kidikteta umeula wa chuya soon mnaenda kuburuzana mahakamani na kubwagana mazima
 
Yaan unasema kwamba?
 
Mkuu kamapeni ya kataa ndoa sio uchwara ,kaa chini ujiulize kwani ukiishi na mwanamke bila ndoa , unapata hasara gani wewe kama mwanaume , ya nini kujiweka kwenye kitanzi cha ndoa kwa dunia hii ya sasa iliyompa nguvu mwanamke zaidi?
 
Ukiona mwanaume anakataa ndoa basi ujue hana akili ya kuishi na mwanamke. Au kwaharaka anaogopa kutawaliwa na mwanamke kwasababu mwanamke anauwezo mkubwa wa akili kumzidi.
Ebu watuache wenye akili tuishi nao
Watu wanaishi na wanawake tena sio mmoja ila wamekataa ndoa , kwani ww kwako hyo ndoa inafaida gan?
 
Mwanaume anatakiwa kuishi na mwanamke kwa misimamo thabiti.
Mwanaume hua hayumbishwi na mwanamke.
Mwanaume hawezi kukubali usawa 50/50 ndani ya nyumba.
Mwanaume anakua dictator aka bandidu.
Hauwezi kukubali ndoa then ukakataa 50/ 50 , ni mwanaume asiye na ndoa tu , ana ubavu wa kupinga 50/50.
 
Utajifanya una misimamo ya kiume , ila ukiwa kwenye ndoa huo msimamo hauna maana kama mwanamke ataamua kukubadilikia ,ukiwa hauna ndoa una uhuru wa kuwa kiume zaid unapoishi na mwanamke.
 
Ndivo ilivyo Mkuu , waoga wanawaogopa wanawake
Vijana kutwa kucha wanashinda wanaangalia Porn, Wanapiga Nyeto, wamejaa Feminine Ideologies, hawataki kufanya kazi(wanataka kufanya kazi wanazozipenda), Marioo, Chawa, Vijana wa KIUME wananenepa Hovyo n.k

Vijana wa namna hiyo ni lazima wawaogope Wanawake. Na Wanawake wameshajua hilo, hvyo wanawanyoosha.

Kijana utakayesoma Bandiko hili, bado hujachelewa. Learn OR Perish (Jifunze au endelea kubishana mtandaoni)

Hili Bandiko lako Wachache watajifunza na wengine Mazingira yatawafunza zaidi.
 
Kama unapiga goti ukivisha pete si tayari ushauza nafasi ya uanaume wako, kesho yakikukutana si tayari ulisharuhusu mlango.
KILA jambo huwa na maana yake kiroho sio mnaiga iga mambo bila kujua
Mkuu kupiga got sio sababu , ukishafungwa na cheti cha ndoa utakuwa mtumwa maisha yako yote nje ya ndoa hakuna kupiga goti kijana kataa ndoa .
 
Misimamo ndio Uanaume Mkuu
Kamwe hauwezi kuwa na msimamo ukifungwa na chet cha ndoa sheria zitakupiga utaonekana mdhaifu dunia nzima , angalia dr mwaka anavyoonekana jinga, cha muhimu ni kukataa ndoa ili uwe na pakusimamia.
 
Mkuu, skuizi nchi imekua na vijana wa hovyo kabisa.
Mkuu wa ovyo sio vijana tu , tunaona wazee wanavyo honga viunua mgongo vyao wanabaki 0 ,mwisho wa siku tunawazika na stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…