Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Inasikitisha sanaJamaa Sijui wamerogwa nanan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaJamaa Sijui wamerogwa nanan
Asili ni mabavuTusimamie Asili
Una miaka 30/35/40 oa mwenye miaka 19/20 mbuluze kidikteta heshima, utii na nidhamu itakuepo hapo akizingua tia makofi mnyooshe.. sio una miaka 25 unaoa miaka 24 au 25 mwenzako na mbaya zaidi awe decent yaan kapigwa msasa unataka muendesha kidikteta umeula wa chuya soon mnaenda kuburuzana mahakamani na kubwagana mazimaHamnaa kitu kama hiyo
Yaan unasema kwamba?Dah... Wakati mtaani wanawake ndo wanateseka kuliko wanaume, sema sisi tunasema popote mwanaume anaona huku mtandaoni ndo safi kwasabu hajulikani
Sasa mkiongeza na viburi vya huku tuta teseka sana maana sio kila mtu anaweza kua dikteta mzuri😊 kama vipi na wanyonge wawepo tu.. Isizidi tu
Mi naona ii inajenga mazingira ya kututesa tuYaan unasema kwamba?
Ndio mteseke tu maana mmefanya Ndoa km ni miradi yenu ya kutoka kimaisha sasa tumegutuka,Mi naona ii inajenga mazingira ya kututesa tu
Hahahahahah sawaNdio mteseke tu maana mmefanya Ndoa km ni miradi yenu ya kutoka kimaisha sasa tumegutuka,
Yes mpaka akili iwake sawa sawia,Hahahahahah sawa
Aluta continua hamna kuzubaa
Watu wanaishi na wanawake tena sio mmoja ila wamekataa ndoa , kwani ww kwako hyo ndoa inafaida gan?Ukiona mwanaume anakataa ndoa basi ujue hana akili ya kuishi na mwanamke. Au kwaharaka anaogopa kutawaliwa na mwanamke kwasababu mwanamke anauwezo mkubwa wa akili kumzidi.
Ebu watuache wenye akili tuishi nao
Hauwezi kukubali ndoa then ukakataa 50/ 50 , ni mwanaume asiye na ndoa tu , ana ubavu wa kupinga 50/50.Mwanaume anatakiwa kuishi na mwanamke kwa misimamo thabiti.
Mwanaume hua hayumbishwi na mwanamke.
Mwanaume hawezi kukubali usawa 50/50 ndani ya nyumba.
Mwanaume anakua dictator aka bandidu.
Utajifanya una misimamo ya kiume , ila ukiwa kwenye ndoa huo msimamo hauna maana kama mwanamke ataamua kukubadilikia ,ukiwa hauna ndoa una uhuru wa kuwa kiume zaid unapoishi na mwanamke.Mungu awabariki wanaume wote ambao mna misimamo ya kiume, tunawapenda sana huu ndiyo ukhalisia..!!
Wanaume wengi mno nowadays hawana tena ile 'manhood' ndani yao, simping culture imewaharibu mno..!!
Carlos usiache kuwaambia ukweli tafadhali inaweza ikawashtua toka kwenye huo usingizi wa pono..!!
Nina hiyo kifaa yangu kwanza akiongea tu kwa mamlaka natii huku inani turn on..!!
Kuweni wanaume bhana, msikimbie nafasi zenu hebu, mnaboa..!!
Vijana kutwa kucha wanashinda wanaangalia Porn, Wanapiga Nyeto, wamejaa Feminine Ideologies, hawataki kufanya kazi(wanataka kufanya kazi wanazozipenda), Marioo, Chawa, Vijana wa KIUME wananenepa Hovyo n.kNdivo ilivyo Mkuu , waoga wanawaogopa wanawake
Mkuu kupiga got sio sababu , ukishafungwa na cheti cha ndoa utakuwa mtumwa maisha yako yote nje ya ndoa hakuna kupiga goti kijana kataa ndoa .Kama unapiga goti ukivisha pete si tayari ushauza nafasi ya uanaume wako, kesho yakikukutana si tayari ulisharuhusu mlango.
KILA jambo huwa na maana yake kiroho sio mnaiga iga mambo bila kujua
Kamwe hauwezi kuwa na msimamo ukifungwa na chet cha ndoa sheria zitakupiga utaonekana mdhaifu dunia nzima , angalia dr mwaka anavyoonekana jinga, cha muhimu ni kukataa ndoa ili uwe na pakusimamia.Misimamo ndio Uanaume Mkuu
Mkuu wa ovyo sio vijana tu , tunaona wazee wanavyo honga viunua mgongo vyao wanabaki 0 ,mwisho wa siku tunawazika na stress.Mkuu, skuizi nchi imekua na vijana wa hovyo kabisa.
Huna nafasi ya ku rule kwa zile sheria za kijinga za ndoa , kataa ndoa ili u rule kibabe.Men are born to rule not to be ruled