Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Mwanamke ntakaemuoa ajiandae maana atakutana na kijana mdogo wa karne ya 21 ila anaishi kwenye misingi ya watu wa zamani
Mkuu ukiwa umefunga ndoa huna ujanja , kataa ndoa .
 
Mkuu wa ovyo sio vijana tu , tunaona wazee wanavyo honga viunua mgongo vyao wanabaki 0 ,mwisho wa siku tunawazika na stress.
Hao ndio vijana wa hovyo ambao wamezeeka...😂
 
Hauwezi kukubali ndoa then ukakataa 50/ 50 , ni mwanaume asiye na ndoa tu , ana ubavu wa kupinga 50/50.
Pole sana kijana...
By the way, umeoa ama pengine napoteza tu muda hapa🤔🤔
 
Watu wanaishi na wanawake tena sio mmoja ila wamekataa ndoa , kwani ww kwako hyo ndoa inafaida gan?
Ohhhhpppp.......
Upo sahihi kabisa kijana, nilikua sijaelewa sasa nimefaham...😊😊
Basi sawa...
 
Pole sana kijana...
By the way, umeoa ama pengine napoteza tu muda hapa[emoji848][emoji848]
Nina mke zaid ya mmoja ,mpka apo nina vigezo mpka nimepitiliza vya ww kutokupoteza mda.
 
mwanamke niliezaa nae amenizidi miaka mitano ila kwenye ubabe huwa nikikasirika anaogopa na kutulia kabisa maana anajua shida iyakayompata akileta fujo
 
mwanamke niliezaa nae amenizidi miaka mitano ila kwenye ubabe huwa nikikasirika anaogopa na kutulia kabisa maana anajua shida iyakayompata akileta fujo
Haitakiwi iwe hivyo wewe umezaa na shangazi yako, lazima siku moja atakutolea uvivu tu pale ukimkuta amekunjwa na mjomba wako
 
Umenena vema kabisa mkuu
 
Mwanaume anatakiwa kuishi na mwanamke kwa misimamo thabiti.
Mwanaume hua hayumbishwi na mwanamke.
Mwanaume hawezi kukubali usawa 50/50 ndani ya nyumba.
Mwanaume anakua dictator aka bandidu.
😳🙄
 

Yuko wapi huyo jamaa tukachukue somo?
 
Jifunze ubabe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…