min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu ukiwa umefunga ndoa huna ujanja , kataa ndoa .Mwanamke ntakaemuoa ajiandae maana atakutana na kijana mdogo wa karne ya 21 ila anaishi kwenye misingi ya watu wa zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiwa umefunga ndoa huna ujanja , kataa ndoa .Mwanamke ntakaemuoa ajiandae maana atakutana na kijana mdogo wa karne ya 21 ila anaishi kwenye misingi ya watu wa zamani
Hao ndio vijana wa hovyo ambao wamezeeka...😂Mkuu wa ovyo sio vijana tu , tunaona wazee wanavyo honga viunua mgongo vyao wanabaki 0 ,mwisho wa siku tunawazika na stress.
Pole sana kijana...Hauwezi kukubali ndoa then ukakataa 50/ 50 , ni mwanaume asiye na ndoa tu , ana ubavu wa kupinga 50/50.
Ohhhhpppp.......Watu wanaishi na wanawake tena sio mmoja ila wamekataa ndoa , kwani ww kwako hyo ndoa inafaida gan?
Nina mke zaid ya mmoja ,mpka apo nina vigezo mpka nimepitiliza vya ww kutokupoteza mda.Pole sana kijana...
By the way, umeoa ama pengine napoteza tu muda hapa[emoji848][emoji848]
vitabu vya dini vimehalalisha ndoa na ni suala takatifuMkuu ukiwa umefunga ndoa huna ujanja , kataa ndoa .
Mkuu sawa ,ila dini sio muhimu kwa kila mtu.vitabu vya dini vimehalalisha ndoa na ni suala takatifu
Ukisema dini haina umuhimu kwa kila mtu unamaanisha hujui dhumuni la wewe kuishi dunianiMkuu sawa ,ila dini sio muhimu kwa kila mtu.
Mkuu huku ni jukwaa la mapenzi , ila kiukweli hauna hojaUkisema dini haina umuhimu kwa kila mtu unamaanisha hujui dhumuni la wewe kuishi duniani
mwanamke niliezaa nae amenizidi miaka mitano ila kwenye ubabe huwa nikikasirika anaogopa na kutulia kabisa maana anajua shida iyakayompata akileta fujoUna miaka 30/35/40 oa mwenye miaka 19/20 mbuluze kidikteta heshima, utii na nidhamu itakuepo hapo akizingua tia makofi mnyooshe.. sio una miaka 25 unaoa miaka 24 au 25 mwenzako na mbaya zaidi awe decent yaan kapigwa msasa unataka muendesha kidikteta umeula wa chuya soon mnaenda kuburuzana mahakamani na kubwagana mazima
Haitakiwi iwe hivyo wewe umezaa na shangazi yako, lazima siku moja atakutolea uvivu tu pale ukimkuta amekunjwa na mjomba wakomwanamke niliezaa nae amenizidi miaka mitano ila kwenye ubabe huwa nikikasirika anaogopa na kutulia kabisa maana anajua shida iyakayompata akileta fujo
HakikaGood one mwenye masikio na asikie mwenye macho na asome.
Umenena vema kabisa mkuuVijana kutwa kucha wanashinda wanaangalia Porn, Wanapiga Nyeto, wamejaa Feminine Ideologies, hawataki kufanya kazi(wanataka kufanya kazi wanazozipenda), Marioo, Chawa, Vijana wa KIUME wananenepa Hovyo n.k
Vijana wa namna hiyo ni lazima wawaogope Wanawake. Na Wanawake wameshajua hilo, hvyo wanawanyoosha.
Kijana utakayesoma Bandiko hili, bado hujachelewa. Learn OR Perish (Jifunze au endelea kubishana mtandaoni)
Hili Bandiko lako Wachache watajifunza na wengine Mazingira yatawafunza zaidi.
😳🙄Mwanaume anatakiwa kuishi na mwanamke kwa misimamo thabiti.
Mwanaume hua hayumbishwi na mwanamke.
Mwanaume hawezi kukubali usawa 50/50 ndani ya nyumba.
Mwanaume anakua dictator aka bandidu.
Mungu awabariki wanaume wote ambao mna misimamo ya kiume, tunawapenda sana huu ndiyo ukhalisia..!!
Wanaume wengi mno nowadays hawana tena ile 'manhood' ndani yao, simping culture imewaharibu mno..!!
Carlos usiache kuwaambia ukweli tafadhali inaweza ikawashtua toka kwenye huo usingizi wa pono..!!
Nina hiyo kifaa yangu kwanza akiongea tu kwa mamlaka natii huku inani turn on..!!
Kuweni wanaume bhana, msikimbie nafasi zenu hebu, mnaboa..!!
Kwani piyemu yako umeifunga baba..??Yuko wapi huyo jamaa tukachukue somo?
Jifunze ubabe weweKiasili wanawake wanataka mwanaume dikteta, wao kutawaliwa ujisikia amani na salama zaidi, kuliko demekrasia. Shida huja kwenye malezi, dikteta ni mtu anaetumia nguvu nyingi akili kidogo. SAsa sababu ya malezi hili jambo huwa gumu umelelewa kwenye malezi ya maadili maadili ni matumizi ya akili kuliko nguvu, utaanzaje kumfanyia udikteta mwanamke hali ukupa malezi ya kidikteta.