Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
La tatu, ujue Huenda kuna nyigu, nyuki wakali au mayangeUkiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili;
1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi
2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi!
Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona Mrembo/Mkaka wa makamo Ambaye hajaolewa/oa Usikurupuke kuingia kichwa kichwa lipo jambo!
Vuta subira!
Tambua kwamba kama kwa jirani Maembe kama hayo yanaliwa na chumvi yakiwa machanga! Iweje Hayo yakomae yakiwa mtini?
"Ukiwa naye ndipo utaelewa kwanini ulimkuta Single "
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app