Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

La tatu, ujue Huenda kuna nyigu, nyuki wakali au mayange

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Naked truth ,kuna mmoja tabata ni pisi kweli lakini watoto wa kiume woote wanamuogopa, kumbe anabanjuliwa na mdingi wake na amemuwekea mauzauza ili kila mtu akitaka kumnyandua yamkute ya kumkuta. hatari sana haya mambo
 
Tambua kwamba kama kwa jirani Maembe kama hayo yanaliwa na chumvi yakiwa machanga! Iweje Hayo yakomae yakiwa mtini?

"Ukiwa naye ndipo utaelewa kwanini ulimkuta Single "
Nimecheka balaa, huo ni ukwel kabisa.
 
Kweli k
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…