Nawashauri wana JF wote for free. According to my research nimegundua kuna mtego tumewekewa. Kuna watu online ni maspy.
Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au unaburudika sehemu mb wewe na kiherehere chako unatupia kweli shauri yako.
Sio kila post ufanye ulichoambiwa. Machawa wamejaa watatumia photo yako kupata details zako. Kaeni chonjo uzuri mimi naogopa vitu vitatu duniani 1. Mungu 2. Njaa 3. Uji moto. Kwa hiyo take care.