Polepole aliwahi kusema.
"Unaweza ukamshauri rais, ushauri wako asipendezwe nao basi hapo chawa na usalama wa Malawi huchukulia ni kama rais ametoa maagizo."
Yaani kwa kifupi rais akichukizwa na jambo lolote, kwao ni command
Sasa mtu mwenyewe ni mwanamke, muda wowote emotions zake zinabadilika, si mtawamaliza watanganyika wenyewe sasa.
mambo mengine ni common sense tu, na yeye ni binadamu tena wa kike.
Unakuta vijamaa vimevaa kaunda vinakuja kukushughulikia kisa tu rais hakupendezwa na ushauri hata kama ulikua ni mzuri.
Wanasahau ya kwamba, rais nae ni binadamu tu kama binadamu mwingine, anaweza akachukia pia.
Hata yule mshkaji alietekwa somebody mwakalebela.
Wale jamaa waliomteka walikua wanamuuliza "kwa nini unatukana viongozi "
Kwa akili ya kawaida wale hawakutumwa na uongozi bali, walijituma wenyewe.
Na ndio maana walimsafirisha kwenda kumtupa mbali kupoteza ushahidi, ya mungu yakawa mengi.