Ukiona ni chai chukua kikombe kikubwa na mkate unywe

Ukiona ni chai chukua kikombe kikubwa na mkate unywe

Mtu unamwibia siri ya jambo flani badala akae attension anabaki kuuliza kwa nini naogopa mungu. Yaani wabongo aliyeturoga alikufa na mwili wake ukachomwa
 
Nawashauri wana JF wote for free. According to my research nimegundua kuna mtego tumewekewa. Kuna watu online ni maspy.

Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au unaburudika sehemu mb wewe na kiherehere chako unatupia kweli shauri yako.

Sio kila post ufanye ulichoambiwa. Machawa wamejaa watatumia photo yako kupata details zako. Kaeni chonjo uzuri mimi naogopa vitu vitatu duniani 1. Mungu 2. Njaa 3. Uji moto. Kwa hiyo take care.
uoga wako ndio umaskini wako gentleman,

halafu kina kushinda nini na wew kua spy ili hatimae mkutane spy kwa spy?🐒
 
Kuna watu huwa wanapenda kujuana juana sana na kutongoza tongoza hovyo mitandaoni hawa huwa ni easy target. Asilimia 70 - 80 ya walioshikwa mitandaoni mbinu namba moja huwa ni ‘mbunye’ hii kitu imepoteza wengi wenye uroho/uchu wa mbunye za mtandaoni.
Daaaa mkuu umenichekesha san ‘Mbunye’ ni kiluga hama ni maneno ya misimu
 
mimi natoa angalizo unaniambia mambo na chande mbongo kuelewa ni kazi
Wewe ndiyo haujanielewa, hapo ujumbe nimeutuma kwao indirectly kwani post yako tafsiri yake ni kwamba wako humu na wanashiriki mijadala.
 
Kuna watu huwa wanapenda kujuana juana sana na kutongoza tongoza hovyo mitandaoni hawa huwa ni easy target. Asilimia 70 - 80 ya walioshikwa mitandaoni mbinu namba moja huwa ni ‘mbunye’ hii kitu imepoteza wengi wenye uroho/uchu wa mbunye za mtandaoni.
na ni ukweli mkuu
 
Vitu vingi vinavyo ongelewa haoa jamii forums ni vya kawaida tu..

Hivitoi attention yeyote usalama wqkutafute, ukiacha wale wachache akina britanicca ambao ni wa huko huko lumumba.
Polepole aliwahi kusema.

"Unaweza ukamshauri rais, ushauri wako asipendezwe nao basi hapo chawa na usalama wa Malawi huchukulia ni kama rais ametoa maagizo."

Yaani kwa kifupi rais akichukizwa na jambo lolote, kwao ni command

Sasa mtu mwenyewe ni mwanamke, muda wowote emotions zake zinabadilika, si mtawamaliza watanganyika wenyewe sasa.

mambo mengine ni common sense tu, na yeye ni binadamu tena wa kike.

Unakuta vijamaa vimevaa kaunda vinakuja kukushughulikia kisa tu rais hakupendezwa na ushauri hata kama ulikua ni mzuri.

Wanasahau ya kwamba, rais nae ni binadamu tu kama binadamu mwingine, anaweza akachukia pia.

Hata yule mshkaji alietekwa somebody mwakalebela.

Wale jamaa waliomteka walikua wanamuuliza "kwa nini unatukana viongozi "

Kwa akili ya kawaida wale hawakutumwa na uongozi bali, walijituma wenyewe.

Na ndio maana walimsafirisha kwenda kumtupa mbali kupoteza ushahidi, ya mungu yakawa mengi.
 
Au sio .... mkia umeutia mku.....ndun sio !!!
Woga wa kijinga huu ndo maana watu wanapiga pesa na hamna chenye mtawafanya ... Sana sana tunawataja waone aibu
 
Au sio .... mkia umeutia mku.....ndun sio !!!
Woga wa kijinga huu ndo maana watu wanapiga pesa na hamna chenye mtawafanya ... Sana sana tunawataja waone aibu
mkuu maisha ya sasa hayataki makasiriko we naona ukimpata hata mmoja you gona chinja him. Tukae chocho tusipotezane na hata mtaani kwenu mkiona gari limepaki mda mrefu kuna mtu wanatageti hapo chukueni hatua mapema isiwe story ya wasiojulikana
 
Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au unaburudika sehemu mb wewe na kiherehere chako unatupia kweli shauri yako.
[Je AI inasema nini kuhusu hii hoja]
Una hoja ya msingi, lakini ni muhimu kuiweka kwa usahihi wa kiufundi.

Picha haiwezi kufichua taarifa zako zote kwa lazima. Hata hivyo, picha ya asili inaweza kubeba metadata/EXIF kama aina ya kifaa kilichotumika, muda picha ilipopigwa, na wakati mwingine GPS location, ikiwa location services ilikuwa imewashwa wakati wa kupiga picha.

Zaidi ya metadata, picha pia inaweza kuchambuliwa kwa njia za OSINT/image forensics: mabango, majengo, mandhari, vivuli, plate numbers, au landmarks vinaweza kulinganishwa na ramani, satellite images, au street-view ili kukisia au kuthibitisha eneo. AI inaweza kusaidia kuharakisha uchambuzi huo, lakini si uchawi; matokeo hutegemea metadata iliyobaki na clues zinazoonekana kwenye picha.

Mfano halisi: mwaka 2012, picha iliyochapishwa na Vice kuhusu John McAfee iliripotiwa kuwa na metadata ya location iliyoonyesha alikuwa Guatemala. Pia, EFF iliandika kesi ambapo GPS EXIF kwenye picha ilisaidia FBI kubaini mahali picha ilipopigwa Australia.

Kwa hiyo, kabla ya kushare picha muhimu au sensitive, ni busara kuondoa metadata, kuzima geotagging, na kuwa makini na vitu vinavyoonekana nyuma ya picha.
 
Back
Top Bottom