Ukiona ni chai chukua kikombe kikubwa na mkate unywe

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,643
Reaction score
5,733
Nawashauri wana JF wote for free. According to my research nimegundua kuna mtego tumewekewa. Kuna watu online ni maspy.

Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au unaburudika sehemu mb wewe na kiherehere chako unatupia kweli shauri yako.

Sio kila post ufanye ulichoambiwa. Machawa wamejaa watatumia photo yako kupata details zako. Kaeni chonjo uzuri mimi naogopa vitu vitatu duniani 1. Mungu 2. Njaa 3. Uji moto. Kwa hiyo take care.
 
Kwa nini unaogopa mungu?
 
Wafikishie ujumbe kuwa ule wimbo wa Mzee Chande nao unawahusu.
 
 
Kuna watu huwa wanapenda kujuana juana sana na kutongoza tongoza hovyo mitandaoni hawa huwa ni easy target. Asilimia 70 - 80 ya walioshikwa mitandaoni mbinu namba moja huwa ni ‘mbunye’ hii kitu imepoteza wengi wenye uroho/uchu wa mbunye za mtandaoni.
 
Sidhani kama nimeelewa sana. Ila ngoja nitake care.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…