Ukiona ni chai chukua kikombe kikubwa na mkate unywe

Mtu unamwibia siri ya jambo flani badala akae attension anabaki kuuliza kwa nini naogopa mungu. Yaani wabongo aliyeturoga alikufa na mwili wake ukachomwa
 
uoga wako ndio umaskini wako gentleman,

halafu kina kushinda nini na wew kua spy ili hatimae mkutane spy kwa spy?🐒
 
Daaaa mkuu umenichekesha san ‘Mbunye’ ni kiluga hama ni maneno ya misimu
 
mimi natoa angalizo unaniambia mambo na chande mbongo kuelewa ni kazi
Wewe ndiyo haujanielewa, hapo ujumbe nimeutuma kwao indirectly kwani post yako tafsiri yake ni kwamba wako humu na wanashiriki mijadala.
 
na ni ukweli mkuu
 
Vitu vingi vinavyo ongelewa haoa jamii forums ni vya kawaida tu..

Hivitoi attention yeyote usalama wqkutafute, ukiacha wale wachache akina britanicca ambao ni wa huko huko lumumba.
Polepole aliwahi kusema.

"Unaweza ukamshauri rais, ushauri wako asipendezwe nao basi hapo chawa na usalama wa Malawi huchukulia ni kama rais ametoa maagizo."

Yaani kwa kifupi rais akichukizwa na jambo lolote, kwao ni command

Sasa mtu mwenyewe ni mwanamke, muda wowote emotions zake zinabadilika, si mtawamaliza watanganyika wenyewe sasa.

mambo mengine ni common sense tu, na yeye ni binadamu tena wa kike.

Unakuta vijamaa vimevaa kaunda vinakuja kukushughulikia kisa tu rais hakupendezwa na ushauri hata kama ulikua ni mzuri.

Wanasahau ya kwamba, rais nae ni binadamu tu kama binadamu mwingine, anaweza akachukia pia.

Hata yule mshkaji alietekwa somebody mwakalebela.

Wale jamaa waliomteka walikua wanamuuliza "kwa nini unatukana viongozi "

Kwa akili ya kawaida wale hawakutumwa na uongozi bali, walijituma wenyewe.

Na ndio maana walimsafirisha kwenda kumtupa mbali kupoteza ushahidi, ya mungu yakawa mengi.
 
Au sio .... mkia umeutia mku.....ndun sio !!!
Woga wa kijinga huu ndo maana watu wanapiga pesa na hamna chenye mtawafanya ... Sana sana tunawataja waone aibu
 
Au sio .... mkia umeutia mku.....ndun sio !!!
Woga wa kijinga huu ndo maana watu wanapiga pesa na hamna chenye mtawafanya ... Sana sana tunawataja waone aibu
mkuu maisha ya sasa hayataki makasiriko we naona ukimpata hata mmoja you gona chinja him. Tukae chocho tusipotezane na hata mtaani kwenu mkiona gari limepaki mda mrefu kuna mtu wanatageti hapo chukueni hatua mapema isiwe story ya wasiojulikana
 
Wanakuja na thread za kukwambia wewe utupie kapicha kako cjui unakula au unaburudika sehemu mb wewe na kiherehere chako unatupia kweli shauri yako.
[Je AI inasema nini kuhusu hii hoja]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…