Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
my friend elewa ulivyoelewa na maisha yasonge. U are asking a right question to a wrong person. Kama unaona ni upuuzi dont take it serious twendele na mengine broKwahiyo unajiona uko salama bin salmin kwa hilo jina feki unalotumia??
Yaani wakuchallenge kwa ww kutuma kapicha ndo wajue mahali ulipo??
Kama ni muoga na mambo ya uanaharakati sio pigo zako, eidha unaiga au kufata mkumbo bado ni kheri uache tu.my friend elewa ulivyoelewa na maisha yasonge. U are asking a right question to a wrong person. Kama unaona ni upuuzi dont take it serious twendele na mengine bro
uwana harakati ambao mtu anatekwa mmesimama wanaenda nae. Nimetoa tahadhari watu wajilinde wenyewe na wewe unaleta mambo na platform cjui uanaharakati. Wewe mbona hata jamii yako kazi wanayo. Tatizo hujasoma toka juu umedandia baiskel kwa mbele nipishe huko alaaa! Sikusema i only fear god, njaa and uji moto? Fanya hivi potea kininja boss. Au kama umetumwa kuja kwangu waambie nimesema hujanikuta. Watu ni wagumu sana wa kuelewa mambo. Mim hapa tayar nimesaidia watatu na wewe unakuja na mambo ya mbuzi kanywa kahawa chief. Yaan hata cjui nikwambieje ndo uelewe. Labda nikukumbushe kuwa nilianza na "kama ni chai kunywa" maana ya uana harakati ni kuambizana ukweli na mimi nimesema ukweli wa jambo na wewe cjui uji mwing unatapika yasiyo. Naomba ulale tu.Kama ni muoga na mambo ya uanaharakati sio pigo zako, eidha unaiga au kufata mkumbo bado ni kheri uache tu.
Hilo ndo la muhimu ziaidi.
Ila kuamini platform kama jf ati italinda privacy ni uongo.
Sababu ya hayo ni collective human dysfunction na Ego walizokuwa nazo machawa wa viongozi na mfumo.Polepole aliwahi kusema.
"Unaweza ukamshauri rais, ushauri wako asipendezwe nao basi hapo chawa na usalama wa Malawi huchukulia ni kama rais ametoa maagizo."
Yaani kwa kifupi rais akichukizwa na jambo lolote, kwao ni command
Sasa mtu mwenyewe ni mwanamke, muda wowote emotions zake zinabadilika, si mtawamaliza watanganyika wenyewe sasa.
mambo mengine ni common sense tu, na yeye ni binadamu tena wa kike.
Unakuta vijamaa vimevaa kaunda vinakuja kukushughulikia kisa tu rais hakupendezwa na ushauri hata kama ulikua ni mzuri.
Wanasahau ya kwamba, rais nae ni binadamu tu kama binadamu mwingine, anaweza akachukia pia.
Hata yule mshkaji alietekwa somebody mwakalebela.
Wale jamaa waliomteka walikua wanamuuliza "kwa nini unatukana viongozi "
Kwa akili ya kawaida wale hawakutumwa na uongozi bali, walijituma wenyewe.
Na ndio maana walimsafirisha kwenda kumtupa mbali kupoteza ushahidi, ya mungu yakawa mengi.