makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huu ujinga ukikuwa zaidi kipindi cha mwendazake.
Nchi inaharibika kuna wasen ge kibao wao wanasifia tu.
Nchi inaharibika kuna wasen ge kibao wao wanasifia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata Rais tumemuajiri na kumpa nyumba ya bure lakini bado kila siku anatutwisha mikopo ambayo anagawana na Chawa wake ila wewe Chawa mdogo unaambulia makombo!tatizo la kua na njaa sana asubuh asubuh, halafu unaishi nyumba ya kupanga na unamkopo kausha damu lazima utawaza upotofu tu .
Machawa wa Magufuli walikuwa wanajielewa na mambo yalikuwa yanaenda,uyu Bibi hapana!Hivi kati ya Samia na JPM nani alikuwa au ana machawa wengi?
Tusisahau aliyeanzisha mfumo wa uchawa jamani
Kikwete ndiyo alikuwa Bingwa maana Machawa wake wamekula sana Mwewe kwenda ughaibuni!Muanzilishi wa uchawa na upuuzi wa kujipendekeza kwa watawala anajulikana ni jiwe, ambaye ulikuwa ukukataa kujipendekeza kwake unapewa kesi ya uhujumu uchumi,kutekwa na kupigwa risasi sasa mazoea yamekuwa tabia.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake alisema :- 'mkinisakama chawa wangu watawajibu' ,wewe ni nani wa kupinga kauli yake?Mabwege nyie wivu unawasumbua, Rais wetu ana wapenzi wengi nchi nzima, hakuna cha chawa, chawa wako kwenye nguo zako. Kumpenda rais wetu na kumwuunga mkono siyo uchawa. Kwanza Rais hata hawafahamu.
Ya kwamba akina musiba ni watu wenye akili?Machawa wa Magufuli walikuwa wanajielewa na mambo yalikuwa yanaenda,uyu Bibi hapana!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ww ni lini uliwahi ona kikwete anarazimisha na kufunga,na kuteka watu kisa wamekataa kumsifu?Kikwete ndiyo alikuwa Bingwa maana Machawa wake wamekula sana Mwewe kwenda ughaibuni!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Chawa lazima wakae kwenye uchafu, sehemu duni n.kUkiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.
....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.
Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Wewe chawa wa marehemu Magufuli wivu utakuua.Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.
....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.
Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Machawa wa Magufuli walikuwa wanajielewa na mambo yalikuwa yanaenda,uyu Bibi hapana!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Pesa hazina mwenyewe tena, chawa wanaunda taasisi za kijinga wanapiga pesaTena sana sana na hili halina ubishi!
Mbowe ana machawa pia kiongozi wao john pambalu aka erythrocyte.Samia anaongoza kwa chawa mpaka upinzani anao.
Uzushi na facts Huwa haviendi pamoja ,no way Chadema mtapata madaraka Kwa uzushi.Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.
....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.
Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Wewe hutaki pesa?Hapa nakuunga mkono kwa 100%
Kwa awamu hii wanasiasa hasa "senior Officers" wa mama ndio wenye fedha (chafu) kwa sasa kuliko hata wafanyabiashara wakubwa!
Hata Melo wa jf ni chawa wake umebakia wewe tuuRais wa sasa ana chawa lukuki mpaka vyombo rasmi vimegeuka kuwa chawa wake
Jibu hoja wewe chawaMabwege nyie wivu unawasumbua, Rais wetu ana wapenzi wengi nchi nzima, hakuna cha chawa, chawa wako kwenye nguo zako. Kumpenda rais wetu na kumwuunga mkono siyo uchawa. Kwanza Rais hata hawafahamu.
Hoja ipi Sasa zaidi ya uzushi 😁😁Jibu hoja wewe chawa
Halafu chawa wenyewe sasa akina nape , wauza madawa ya kulevya , wezi wahujumu uchumi , MAFISAD ndo utajua aina ya kiongoziUkiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.