umepanic ee🤣Ata Rais tumemuajiri na kumpa nyumba ya bure lakini bado kila siku anatutwisha mikopo ambayo anagawana na Chawa wake ila wewe Chawa mdogo unaambulia makombo!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kweli mleta mada ana njaa kama unavyosema, ila hoja zake vp?!.tatizo la kua na njaa sana asubuh asubuh, halafu unaishi nyumba ya kupanga na unamkopo kausha damu lazima utawaza upotofu tu .
Hivi kati ya Samia na JPM nani alikuwa au ana machawa wengi?
Tusisahau aliyeanzisha mfumo wa uchawa jamani
Na ndio awamu iliyofanya mambo ya hovyo kuliko awamu zote!Kikwete ndiyo alikuwa Bingwa maana Machawa wake wamekula sana Mwewe kwenda ughaibuni!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
zaidi ya wivu, kutia huruma, mihemko na chuki binafsi dhidi ya walio karibu au wanaomuunga mkono Rais atatoa hoja wapi pamoja na wewe mwenyewe labda na vibaraka unaowaunga mkono kwa uchache 😜Inawezekana kweli mleta mada ana njaa kama unavyosema, ila hoja zake vp?!.
.Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.
....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.
Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Kwa kuws keenu hakuna mgao wa umeme na wewe una punguzo maalumu vutuo vyote vya mafuta nchini na zaidi sana serikali inakupatia ruzuku ya basics basi ni haki yako kuimba pambio za kusifu.Mabwege nyie wivu unawasumbua, Rais wetu ana wapenzi wengi nchi nzima, hakuna cha chawa, chawa wako kwenye nguo zako. Kumpenda rais wetu na kumwuunga mkono siyo uchawa. Kwanza Rais hata hawafahamu.
Mimi siyo chawaHata Melo wa jf ni chawa wake umebakia wewe tuu