But, this is what's most disconcerting; to see the amount of energy and effort being expended to ensure that she remains in power by all means necessary; even at the expense of people's lives, come November 2024 and thereafter in 2025.Samia Suluhu Hassan goes down as the most incompetent and insecure President in Tanzania’s history.
Inasikitisha.Whoever thinks it’s funny Tanzania kuwa taifa la misiba jua kabisa huyo haipendi tanzania
Alhamdulillah… Allah Ana mipango mingine
Waislamu mmezidi upumbavu hadi mmefikia kutetea shoga au fisadi kisa ni dini yenu cheki yule polisi choko wa zanzibar mlivyo mgombea....kwa mujibu wa uislamu ni ukafiri kuongozwa na mwanamke ila nyinyi mnamtetea awe kiongozi .....majuzi kanajisi hadi alkahaba ya mtume kwa kuingia na mabasha na nyote mkashangilia kama mazuzu...Watz hamna akili,mnaombea kiongozi wenu afe? Kisa tu sio wasio wa dini yako,
Aisee hata Mimi. Yaani Una bando GB kibao lakini eti itabidi ujizime data🤣🤣🤣🤣Mimi hizo kazi nilishazikataa. Kazi za kutumwa kama Mbwa;kama huyo, piga,teka yule na wewe unatii bila kulezwa kinagaubaga huyo mtu kweli anastahili kufanyiwa hayo. Nilishakataaaa.
Maana mwisho wake ndo unatumwa kama akina Nyundo na wenzake. Mtu una akili yako unakubalije ujinga kama ule?
Mama alionekana visiwa vya Barbados akipewa tibaHao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Ile ya Bashite, aka Makonda mbona haikupanda?Jamanj si tuanze kuimba parapanda?
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.
Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.
Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.
Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Ila chatu ni jasiri sanaIla nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Usinge weza kuyasema haya kama ungejuwa 'CHAWA' na wengine wote wanao ishi kwa kumtegemea huyo mtu mmoja anaye shikilia njia zinazo wawezesha kuishi maisha wanayo yaishi sasa hivi. Kwa hawa hiyo "taarifa" unayo ona wewe si taarifa, kwao ni kila kitu!Hakuna taatifa nzito hapa duniani labda tupate kitu kigeni nje ya dunia yetu hiyo ndio itakuwa taarifa nzito!.
muda wowote mtu yoyote unaweza ukasikia amelamba ardhi kitu ambacho ni kawaida kete ya uhai kila mmoja atairudisha tu!.
labda mniambie annunaki wanakuja duniani ama viumbe vya ajabu vimeingia dunia hiyo ndio taarifa nzito!
Mkuu hebu mwagika basiNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Wai milembe bibieWaislamu mmezidi upumbavu hadi mmefikia kutetea shoga au fisadi kisa ni dini yenu cheki yule polisi choko wa zanzibar mlivyo mgombea....kwa mujibu wa uislamu ni ukafiri kuongozwa na mwanamke ila nyinyi mnamtetea awe kiongozi .....majuzi kanajisi hadi alkahaba ya mtume kwa kuingia na mabasha na nyote mkashangilia kama mazuzu...
Dah funguka kidogo basi britaniccaNyingine wanavujishaga makusudi
Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa
Nzito mno!
Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)
Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
Hii ni haki yako mkuu 'Mayor'; sasa sisi wengine ambao Tanzania ndiyo kila kitu tuache tupambane wenyewe. Hatutakata tamaa.Mwasala ya uzalendo tuwaachie wenyewe
Kwa diaspora mimi, safari ya Tanzania ni kuja kutambika tu kwenye makaburi ya wazazi.
Vinginevyo siwezi ushi Tanzania miaka 800.
Kwani unaamini utaratibu unge kuwa hivyo Samia asinge shinda?Anaweza kuchukua Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Spika au Jaji Mkuu kwa miezi mitatu.
Uchaguzi ni muhimu ufanyike ndani ya miezi mitatu ili kila mgombea aeleze sera zake. Akichaguliwa tutajua anasimamia nini, maono yake, vipaumbele vyake na anatupeleka wapi.
Na Mungu atakutetea tuNadhani huwa wanashughulikiwa. Ila mimi naona bora ushughulikiwe kwa kutaaa kuonea watu wasio na hatia.
MmhhInasemekana anapatiwa matibabu huko cuba
Wapi watz wameonbea haya?Watz hamna akili,mnaombea kiongozi wenu afe? Kisa tu sio wasio wa dini yako,
Kisa? Jibu hayo maswaliHameni nchi
Mmhh!nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana