Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Kwani unaamini utaratibu unge kuwa hivyo Samia asinge shinda?
Na kama angeshinda huo uchaguzi, pangekuwepo na tofauti gani kati ya Samia huyu na yule aliyeshinda uchaguzi?

Maoni yangu ni kwamba, tatizo ni kubwa zaidi ya kutegemea tu huo uchaguzi wa mrithi wa madaraka.
Sidhani kama angeshinda angeshindana na wapinzani ndani ya chama chake kama Majaliwa na wengine. Majaliwa nafikiri angeshinda.

Naamini tungepata nafuu mtu ambaye at least ana uchungu na Mali na maliasili za nchi.

Matatizo, maji, umeme yasingerudi. Bandari, mbuga, misitu isingeuzwa. SGR ingekuwa imefika mbali. Teuzi, tenguzi za hovyo kila siku na rushwa, tozo, zingepungua. Mikataba tunayosaini ingekuwa zaidi kwa maslahi ya Taifa.
 
Hakuna taatifa nzito hapa duniani labda tupate kitu kigeni nje ya dunia yetu hiyo ndio itakuwa taarifa nzito!.
muda wowote mtu yoyote unaweza ukasikia amelamba ardhi kitu ambacho ni kawaida kete ya uhai kila mmoja atairudisha tu!.

labda mniambie annunaki wanakuja duniani ama viumbe vya ajabu vimeingia dunia hiyo ndio taarifa nzito!
Yes Amekaribia kurudi
 
Sidhani kama angeshinda angeshindana na wapinzani ndani ya chama chake kama Majaliwa na wengine. Majaliwa nafikiri angeshinda.

Naamini tungepata nafuu mtu ambaye at least ana uchungu na Mali na maliasili za nchi.

Matatizo, maji, umeme yasingerudi. Bandari, mbuga, misitu isingeuzwa. SGR ingekuwa imefika mbali. Teuzi, tenguzi za hovyo kila siku na rushwa, tozo, zingepungua. Mikataba tunayosaini ingekuwa zaidi kwa maslahi ya Taifa.
Mimi naelewa unacho sema hapa, lakini nina kukumbusha tu kama unaelewa utaratibu unaotumika huko ndani ya chama hicho kumpata mgombea.
Wewe hapa unazungumzia utaratibu ambao haupo; kwanza kabisa ndani ya chama, na hata baada ya kupata mtu wao, anapowasilishwa huku nje ya chama mambo ni haya haya tunayo yashuhudia hata sasa hivi.

Hadi hapa tulipo sasa hivi, unajuwa wazi tumo kwenye mchakato huo huo wa kumpata kiongozi 2025. Nieleze kama unaona dalili zozote tofauti na, zinazo kufanya uamini kuwa sasa Majaliwa au mtu mwingine yeyote ndani ya chama atajitokeza kugombea nafasi anayo ishikilia Samia sasa hivi!

Utanieleza kuwa Samia kafanya vizuri sana katika miaka hii aliyo shika nafasi hiyo, kwamba CCM hawawezi kumwacha wamtafute mtu mwingine? Wataanzia wapi?
 
Kwa sasa hawawezi kumuacha. Yupo makini sana kwa mtu yoyote anaonekana kuwa tishio au anapewa sifa na jamii.

Anawatengua mapema. Infact ndio kitu anachokifanya vizuri kuliko kitu chochote, kwa uchungu mkubwa na nia ya dhati, ndio kipaumbele chake kikubwa toka apate madaraka. Kuhakikisha anabaki madarakani. Kuhakikisha anaua upinzani ndani na nje ya chama chake.

Hali ilikuwa tofauti 21 march 2021. Samia hakuwa na nguvu kubwa au ushawishi ndani ya chama chake wala serikalini. Nafikiri Majaliwa, Bashiru Ali, Polepole, Lukuvi, Kabudi na wengine kama wote wangechukua form na kufanya kampeni sidhani kama angepita ndani ya chama chake.

Ni mabeyo ndiye aliyemkingia kifua.
 
Utakufa utamuacha bro

No need to get that low

Hii siyo first time mnazusha hivyo

It doesn’t help anyone
Unaumia uliwa wapi?

Kauli hii ya utakufa utamuacha mlianza kuitekeleza kwa mzee Kibao. Sishangai unaongea kwa kujiaminisha kuwa mtanitanguliza
 
Kwa sasa hawawezi kumuacha. Yupo makini sana kwa mtu yoyote anaonekana kuwa tishio au anapewa sifa na jamii.

Anawatengua mapema. Infact ndio kitu anachokifanya vizuri kuliko kitu chochote, kwa uchungu mkubwa na nia ya dhati, ndio kipaumbele chake kikubwa toka apate madaraka. Kuhakikisha anabaki madarakani. Kuhakikisha anaua upinzani ndani na nje ya chama chake.

Hali ilikuwa tofauti 21 march 2021. Samia hakuwa na nguvu kubwa au ushawishi ndani ya chama chake wala serikalini. Nafikiri Majaliwa, Bashiru Ali, Polepole, Lukuvi, Kabudi na wengine kama wote wangechukua form na kufanya kampeni sidhani kama angepita ndani ya chama chake.

Ni mabeyo ndiye aliyemkingia kifua.
Sasa sijui nikueleze vipi mkuu 'Lookmalasin' ndipo na wewe uweze kunielewa; kama mimi ninavyo kuelewa toka mwanzo, ukitumia nadharia chini ya mfumo unao eleweka.

Kwa vyovyote Samia angekalia hicho kiti, hata katika muda wa mpito kukisubiliwa uchaguzi.
Na kama ulivyo eleza, toka mwanzo aliyataka madaraka. Kazi yake katika muda huo wa mpito ingekuwa ni hiyo hiyo ya kuhakikisha hapati ushindani ndani ya chama.
Wewe na mimi, sote tunaifahamu vizuri CCM iliyopo, toka enzi za akina Kikwete. Hiyo isinge kuwa CCM unayo ifikiria wewe katika mawazo yako
Lile genge la akina Bashiru lililotaka kumzima, ange lizima yeye mwenyewe kwanza katika muda wake ule wa mpito, kama alivyo fanya baada tu ya kushika madaraka. Sasa upinzani unge toka wapi?

'Tragedy' yetu ni kwamba, hata hao akina Mabeyo sasa hivi walipo hawana lolote la kufanya kuinusuru nchi hii na janga hili walilo tuletea wao. Bila shaka wanashukuru kwa kuzawadiwa uenyekiti wa Bodi!
 
Unaumia uliwa wapi?

Kauli hii ya utakufa utamuacha mlianza kuitekeleza kwa mzee Kibao. Sishangai unaongea kwa kujiaminisha kuwa mtanitanguliza
Uliwa wapi?

Braaah
 
Sasa sijui nikueleze vipi mkuu 'Lookmalasin' ndipo na wewe uweze kunielewa; kama mimi ninavyo kuelewa toka mwanzo, ukitumia nadharia chini ya mfumo unao eleweka.

Kwa vyovyote Samia angekalia hicho kiti, hata katika muda wa mpito kukisubiliwa uchaguzi.
Na kama ulivyo eleza, toka mwanzo aliyataka madaraka. Kazi yake katika muda huo wa mpito ingekuwa ni hiyo hiyo ya kuhakikisha hapati ushindani ndani ya chama.
Wewe na mimi, sote tunaifahamu vizuri CCM iliyopo, toka enzi za akina Kikwete. Hiyo isinge kuwa CCM unayo ifikiria wewe katika mawazo yako
Lile genge la akina Bashiru lililotaka kumzima, ange lizima yeye mwenyewe kwanza katika muda wake ule wa mpito, kama alivyo fanya baada tu ya kushika madaraka. Sasa upinzani unge toka wapi?

'Tragedy' yetu ni kwamba, hata hao akina Mabeyo sasa hivi walipo hawana lolote la kufanya kuinusuru nchi hii na janga hili walilo tuletea wao. Bila shaka wanashukuru kwa kuzawadiwa uenyekiti wa Bodi!

Genge la Bashiru walitaka wamuweke Majaliwa kwahiyo asingepata hata hiyo miezi mitatu bila Mabeyo.
 
Sasa sijui nikueleze vipi mkuu 'Lookmalasin' ndipo na wewe uweze kunielewa; kama mimi ninavyo kuelewa toka mwanzo, ukitumia nadharia chini ya mfumo unao eleweka.

Kwa vyovyote Samia angekalia hicho kiti, hata katika muda wa mpito kukisubiliwa uchaguzi.
Na kama ulivyo eleza, toka mwanzo aliyataka madaraka. Kazi yake katika muda huo wa mpito ingekuwa ni hiyo hiyo ya kuhakikisha hapati ushindani ndani ya chama.
Wewe na mimi, sote tunaifahamu vizuri CCM iliyopo, toka enzi za akina Kikwete. Hiyo isinge kuwa CCM unayo ifikiria wewe katika mawazo yako
Lile genge la akina Bashiru lililotaka kumzima, ange lizima yeye mwenyewe kwanza katika muda wake ule wa mpito, kama alivyo fanya baada tu ya kushika madaraka. Sasa upinzani unge toka wapi?

'Tragedy' yetu ni kwamba, hata hao akina Mabeyo sasa hivi walipo hawana lolote la kufanya kuinusuru nchi hii na janga hili walilo tuletea wao. Bila shaka wanashukuru kwa kuzawadiwa uenyekiti wa Bodi!
SSH hapendi kupiga kampeni vijijini, mikoani, kusikiliza matatizo ya wananchi, kuongea nao au kukagua miradi au kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati, kukemea rushwa au kufukuza watendaji wabovu. Hana uwezo wa kushawishi watu kwa sera, maono yake, kazi zake au alichofanikisha.

Yeye anachopenda ni kusafiri Ulaya, USA, Uarabuni, nje ya nchi.

Kwahiyo sababu hana ushawishi atatumia zaidi Polisi usalama, Tamisemi / tume ya uchaguzi, rushwa, wasiojulikana, ubabe, watu kupotezwa ili kushinda chaguzi zote mbeleni.
 
Back
Top Bottom