Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Sidhani kama angeshinda angeshindana na wapinzani ndani ya chama chake kama Majaliwa na wengine. Majaliwa nafikiri angeshinda.Kwani unaamini utaratibu unge kuwa hivyo Samia asinge shinda?
Na kama angeshinda huo uchaguzi, pangekuwepo na tofauti gani kati ya Samia huyu na yule aliyeshinda uchaguzi?
Maoni yangu ni kwamba, tatizo ni kubwa zaidi ya kutegemea tu huo uchaguzi wa mrithi wa madaraka.
Naamini tungepata nafuu mtu ambaye at least ana uchungu na Mali na maliasili za nchi.
Matatizo, maji, umeme yasingerudi. Bandari, mbuga, misitu isingeuzwa. SGR ingekuwa imefika mbali. Teuzi, tenguzi za hovyo kila siku na rushwa, tozo, zingepungua. Mikataba tunayosaini ingekuwa zaidi kwa maslahi ya Taifa.