Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hata hivyo siyo sababu pekee toshelezi mkuu.Ndo maana maandiko hayarusu sex before marriage ni kwa faida yako ili usiingie mkenge maana ngono uleta upofu.
Ngono tu kama hakuna mpango wa ndoa.
Sababu nyingine ni kumkinai mapema mchumba na kuona: 'hivi gharama zote ninazolazimika kutoa ni kwa ajili ya hiki', mtu anaanza kujizungusha hadi inashindikana.
Na kuna mambo mengine madogo madogo yasiyostahili hata kusemwa ama kuandikwa hapa.