Ukiona siti iko wazi muda mrefu ulizia kabla hujaikali, yawezekana kuna sababu inakimbiwa ✍️

Kwahiyo ndo ninunue mbuzi kwenye gunia? Nikikuta kakeketwa je.
 
Kuamini kuwa umepeleleza vya kutosha na kujiaminisha kuwa siti ipo salama, ujue umeliwa.

Kimsingi, ukishakalia siti, ujue ndio kwanza jitihada za upelelezi na ulinzi wa siti uboreshwe mara 100th.
 
Dah, una umri gani😀😀, mkuu ngoja nisitishe mjadala huu kwenye media.

Ujue nini, kila nikitaka kutandaza points zangu kukufafanulia vizuri hapa naona ni kama nitaeleza matusi matupu, ninahisi aibu miye.
Matusi we nani anakujua humu toa somo watu wapate shule
 
Mnajiendekeza tu bwana, mbona inawezekana sana tu.
We jibu tu hvo Kwa sababu mtoto wa kike ukikiri kwamba huwezi kuishi nazo watakuona wale wale, lakini kiuhalisia unajua kabisa ukikaza sana miezi miwili baada ya hapo kisaikolojia unakua umevurugika mwili unahitaji kupasha kidogo
 
Hamnaaaa, inawezekana sana tu.
 
We utakua mstaaafu wa hayo mambo ila kwa mtu anaepata mlo kamili na analipa bills zake vizuri wiki tatu zitakua nyingi kwake
🤣🤣🤣🤣🤣 Na kweli ni mstaafu!
 
Kwani waliokeketwa hawaolewi mkuu?
Hautakiwi kuijua siri ya mtungi mpaka uwe kata.
Siwataki mimi, nilikutana na mmoja kafannyiwa FGM, mpaka namkojoza nilifanya kazi kubwa mno, kazi ambayo kwa demu wa kawaida angekojoa mara mbili kwa mpigo. Unaweza Kesha mzee
 
Siwataki mimi, nilikutana na mmoja kafannyiwa FGM, mpaka namkojoza nilifanya kazi kubwa mno, kazi ambayo kwa demu wa kawaida angekojoa mara mbili kwa mpigo. Unaweza Kesha mzee
🤣🤣🤣
 
Bwana wee mkitaka oeni msipopotaka acheni.. siti sijui nini aah vinachosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…