Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.

Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.

1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
 
🚮🚮
 
Sasa suluhu ni nini?
 
Mbona Serikali inakopa kulipa mishahara.....imekwiasha
 
I agree,its 2024 maisha yamebadilika na sababu ubepari ndio unaotawala dunia na ndio sisi watanzania tunauendea kwa kasi inabidi tujibadilishe tabia zetu na mienendo yetu ya maisha kuendana na kasi ya technology inayochochea ubepari zaidi. Mtoa mada kaongea ukweli kabisa na ila hata ukifanya vitu hivo maisha hayaishi wala hujakwisha,utajifunza na kuadopt kama mwerevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…