Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mkopo ulipe mkopo mwenzake ila wasijuane2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkopo ulipe mkopo mwenzake ila wasijuane2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
Vijana wa 2000 mna mtindio wa ubongoKuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.
Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.
1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
Sa100Sasa suluhu ni nini?
hawa watoto wanaoandika asubuhi, hasubuh wako na tabu kubwaVijana wa 2000 mna mtindio wa ubongo
Haha bora hata wewe ulivyouliza maana kila mtu anakuja na "UMEKWISHA"Sasa suluhu ni nini?
Inategemea. Maisha hayana 'formula' moja. What doesn't work to you, works to another person. Mfano, sehemu mbalimbali nchini kuna wanaofunga biashara fulani, na kuna wengine wanafungua biashara ya aina hiyo hiyo. Mnaweza kuwa katika mazingira yanayofanana, kitu ulichojaribu ukashindwa, mwingine akijaribu akatoboa. Hata katika maisha ya ndoa, kuna ndoa zinavunjika na kuna ndoa zinafungwa hata kwa baadhi ambao ndoa zao zilivunjika. Hivyo, kwa baadhi ya mambo yanayochukuliwa 'wholesale' hayafanyi kazi kwa wote kwa namna ileile, ingawa ni muhimu kuwa mwangalifu.Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.
Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.
1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
Hahahahaha Dr umenichekesha sana , Hawa ndio wakifikisha miaka 30 wanaanza kuomba samahani Kwa maneno waliyokuwa wakisema utotoni, mf: unafikishaje miaka 30 huna gari.VIjana hao Wasamehe tu Mkuu😅😅
Hao ndio wabongo.Haha bora hata wewe ulivyouliza maana kila mtu anakuja na "UMEKWISHA"
😃😃Hahahahaha Dr umenichekesha sana , Hawa ndio wakifikisha miaka 30 wanaanza kuomba samahani Kwa maneno waliyokuwa wakisema utotoni, mf: unafikishaje miaka 30 huna gari.
: unafikishaje miaka 30 huna nyumba n.k
Binafsi Kuna rafiki yangu miaka ya nyuma tukiwa shuleni nakumbuka alikuwa analaani Kwa sauti kabisa anamlaumu baba yake kwanini alijenga kijijini badala ya mjini ila Sasa hv nafikri amejua kama alikuwa anaongea utumbo Gani.😭😭😭