Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.

Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.

1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
Namba 1 imenifanya nitafakari upya umriwako mazee....🤔
 
Basic principles of life, never ever generalize personal life experiences to others situationships!

Kuna wale wamejiunga vyama vya kufa na kuzikana wanachangia wenzao wakifiwa, ilipofika wao kuchangiwa walipata mitaji. Mmoja namfahamu ni jirani yangu alinunua ng'ombe mbili za maziwa he's having a crying happy situation.

Kuna aliyekopa bank akajenga nyumba ya kuishi, akakaaa baada ya miaka akahamishwa kikazi. Akatafuta mpangaji akampangisha kwa 250k yeye alikohamishiwa akapanga nyumba ya 200k. My point is life is like free ranging animals while one gets fruity grass others get thrones! Na kumbuka usiogope kukosea life was never given to us with instruction manuals!
 
Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.

Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.

1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
Hiyo namba 1 nakupa ✊️! 💯
 
U

Usitishe watu kwa hayo kuna watu wanakopa hadi mikopo imewazoea na maisha Yana kwenda. Ukiona pia unakoposheka juwa una akili timamu chizi hawezi kopeshwa.
 
Kwa iyo hiyo dharura itachezea kwenye kiwango ulichoweka?
Ndio. Dharura za kawaida sio majanga. Mfano gesi imeisha ghafla na umepata wageni wa ghafla mke kapiga simu kuna wageni na gesi imeisha hapo akiba inakusaidia.
 
Hiyo no 1 hapo huwa nashiriki kutoa chochote kwa waliopata matatizo kwa nia ya kutoa sadaka na kuboresha mahusiano yangu na watu wa karibu ila sina lengo la wao pia eti wanilipe wema hiyo ni juu yao
 
Back
Top Bottom