Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Vijana wa 2000 mna mtindio wa ubongo
 
Inategemea. Maisha hayana 'formula' moja. What doesn't work to you, works to another person. Mfano, sehemu mbalimbali nchini kuna wanaofunga biashara fulani, na kuna wengine wanafungua biashara ya aina hiyo hiyo. Mnaweza kuwa katika mazingira yanayofanana, kitu ulichojaribu ukashindwa, mwingine akijaribu akatoboa. Hata katika maisha ya ndoa, kuna ndoa zinavunjika na kuna ndoa zinafungwa hata kwa baadhi ambao ndoa zao zilivunjika. Hivyo, kwa baadhi ya mambo yanayochukuliwa 'wholesale' hayafanyi kazi kwa wote kwa namna ileile, ingawa ni muhimu kuwa mwangalifu.
 
VIjana hao Wasamehe tu MkuuπŸ˜…πŸ˜…
Hahahahaha Dr umenichekesha sana , Hawa ndio wakifikisha miaka 30 wanaanza kuomba samahani Kwa maneno waliyokuwa wakisema utotoni, mf: unafikishaje miaka 30 huna gari.
: unafikishaje miaka 30 huna nyumba n.k

Binafsi Kuna rafiki yangu miaka ya nyuma tukiwa shuleni nakumbuka alikuwa analaani Kwa sauti kabisa anamlaumu baba yake kwanini alijenga kijijini badala ya mjini ila Sasa hv nafikri amejua kama alikuwa anaongea utumbo Gani.😭😭😭
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…