Ukiona una dalili hizi ujue wewe ni fukara na masikini

Pamoja na kukubaliana na ww, naongezea namba 1-3 ni kitu kimoja ila inayosumbua wabongo zaidi wabongo ni namba 10 ndio maana akiibuka mjanja anapiga kupitiliza kama sasa hivi anavyowalamba Mwamposeri! Hii haina cha degree wala fomfoo kwa mbongo hata phd zao za kukariri! Na ndio capital kubwa ya sisiem!
 
uhai wa mwili wako uko kona ipi ya mwili wako?
Uhai ni hali, so huwezi ukaipata katika sehem moja, kwa kifupi hali ya kua hai(uhai) huchagizwa kwa ufanisi wa ogani mbali mbali mwilini, ambazo muhimu sana ni ubongo, mapafu, moyo, ini, figo, kongosho.. pia kuna mifumo ambayo inashirikiana na ogani hzo ili kuhakikisha ulinzi wa mwili na ungezekaji wa viumbe hai, huyo mifumo ni kama mfumo wa upumuaji, mfumo wa chakula, mfumo wa utoaji taka mwili, mfumo wa uzazi, mfumo wa mzunguko wa damu....

ogan tajwa hapo juu ikisumbua, huathiri mifumo hiyo, na hiyo mifumo hutegemeana hivo mtu kufariki(kukosa uhai) ni hali ya kufeli kwa mfumo au mifumo mwilini mwake baada ya ogani yake au zake kufeli..
.............

nimetumia lugha nyepesi ili unielewe. Sasa naomba unijibu swali langu, hyo roho kwenye jumba kubwa liitwalo mwili inapatikana katika kiungo gani?????
 
1 Wakorintho 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
¹⁴ Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
¹⁵ Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

wewe unaamini uwepo wa Mungu?
 
Hayo ndo mambo niliokua siyataki. Me sijakupa mistari ya kwenye vitabu vya human anatomy. nimekufafanulia moja kwa moja. Nata wewe uniambie kwenye hilo nyumba unaishi angle gani???? kama huna jibu sema SINA JIBU.
 
Kwanza mchora ramani!
Pili mjuaju wa maisha!
Tatu umetumia fursa kwenye thread yako kutangaza kazi yako!
Twajiuliza, wewe ume panchi au wataka ku panchi?!
Hii thread yako unajiponda mwenyewe au wajipa morali ufanye hayo?!
 
Dunia inatambua Africa nzima ni mafukara ni wakati sasa wa jamii yetu kujua mbinu na kujenga misingi, ili vizazi vijavyo vyenye jamii yetu kua na haueni za kimaisha ili tu neno ufukara lisiwe jambo niliumiza watu, ukiangalia watoto wengi wanauwezo ila ufukara wa jamii yetu na madaraja tunayowekeana baina yetu hawafiki mbali ni bora kila mmoja wetu anapobaini ufukara katika familia Fulani basi afanyike kama msaada ili tu kujengeana misingi ya kujikwamua 🧐
 
Back
Top Bottom