Ukiona unapitia dalili hizi katika maisha, jua kuwa Mungu anakupeleka next level ya maisha yako

Ukiona unapitia dalili hizi katika maisha, jua kuwa Mungu anakupeleka next level ya maisha yako

Endeleen kufarijiana muda ukifika mtajua hamjui imeandikwa mungu hamjalibu mtu ila tamaa zenu mungu yuko zake mbingun anakula bia na nyama choma za kondoo na watoto wakali aje akuinue ww kasongo jifarijin hvy hvy ndio safi msije mkajiua bure
Umekunywa gongo zile za buku buku kwenye kichupa mnazopimiwa?
 
Unaniongelea mimi nahisi asilimia 80 ya ulivyoviongelea vimenipata wakati huu ambapo nimeamua kumtegemea Mungu entirely naona ishara ya jambo jema/zuri kuja kwangu but sijui litatokea wapi I keep trusting him
Endelea kumtegemea Mungu, atakufikisha salama
 
Hauko peke yako mimi pia hapa machozi yananilenga tangu mwaka 2016 mambo yangu yameharibika totally yaani all aspect of life,, elimu,, kazi,, mahusiano,, uchumi,, marafiki yaani niponipo tuu.. Kikubwa Nashukuru mungu nina afya njema basi ila isue zingine niko zero kabisa
Ukiona hivyo Mungu anakuongeza capacity yako yakumiliki vitu vikubwa zaidi ya ulivyopoteza hapa anataka akufundishe kitu, kuusu watu wanaokuzunguka hili unapopata vitu vikubwa ujue jinsi ya kumanage na kutumia, Maana Mungu hili akupe kikubwa lazima akufundishe nidhamu kwanza
 
فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,


إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
 
فَإِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,


إِنَّ مَعَ الْعُسْرِ يُسْرًا
Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
Nikisomaga hii sura mara 101,
Huwa napataga utatuzi wa mambo mengi magumu.


Na wakristo pia wamtegemee Mungu, Hakika mambo machafu yanafunga kheri nyingi kwetu...

Please hasiione Kiranga
 
Next level nini, ni kiwango ambacho Mungu anakuinua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine yenye ukubwa na mamlaka.

Je ni watu gani Mungu uwainua kuwapeleka next level ya maisha?

Wanaitwa choosen one au black sheep wa family, Mungu uwainua watu hao hili kuvunja generation curse au pattern(vifungo vya ukoo au family mfano mila fulani ambazo ni kinyume na Mungu, belief, limitation za kifamilia kama elimu, biashara, kazi, n.k


Ukiona unapitia hatua hizi katika maisha yako basi Mungu anataka kukupeleka kwenye next level(born to greatness)

Preparation(Maandalizi)
Hapa unapitia vitu kama hivi
-rejection(mfano kukosa ajira kila ukijaribu kuomba, hiyo ni direction ya Mungu kukupeleka kwenye kusudi lako la Maisha
-betray(kusalitiwa na watu wengi)
-hali ngumu sana ya kimaisha tofauti na wengine
-kukataliwa toka utoto
-kupoteza kazi


Isolation(Mungu kukufundisha kumtegemea yeye pekee)
Hizi ndio dalili
-kupoteza interest ya vitu ulivyokuwa unavipenda zamani mfano gossip issue
-kuwa na interest na mambo ya Mungu
-kupoteza marafiki wa zamani, uhusiano wa zamani kuondoka bila sababu yoyote
-kupoteza ndoto zako zamani
-kupoteza kazi, biashara
-kupoteza pesa
-kupenda kuwa peke yako
-watu kutokuelewa hiwe family, friend
-kupata favor
-kupata heshima


Testing(Mungu kukujaribu)
-Hapa Mungu anakupima imani yako kupitia changamoto mbalimbali(heavy)

Elevation
Hapa Mungu anakuinua ili uishi kwenye kusudi lako maishani

Ukiona unapitia nyakati ngumu sana maishani kama betray, rejection, loss, tofauti na changamoto za watu wengine jua Mungu anataka kukuinua kwa purpose kubwa maishani mwako usikate tamaa.

Dhahabu kabla aijatengeneza kitu cha thamani uwa inapitia kwenye moto mkali , Usikate tamaa ushindi wako upo karibu.
Umeniandika MIMI. Jambo la kuzingatia ni kwamba kadiri Mungu anavyozidi kukuinua wewe endelea kujinyenyekeza chini ya mkono wake hodari ili usivuruge mission yake(asikushushe).

Kanuni ya Mungu ni kuwapinga wenye KIBURI bali kuwapa wanyenyekevu NEEMA
 
F31029B8-F053-4B3D-B546-D1221F9038B1.jpeg
 
kuamka kiroho siyo lelemama aisee,siyo jambo la kiimani,,,ni jambo halisi linalotokea kwenye akili na mwilini [Emotionally and physically] l.

Kuna namna unatakiwa kufanya ili hyo hali ipite vizuri,hapo ndo utasikia kitu kinaitwa Meditation..unapaswa uijue meditation inavyo fanyika.uki mess up unaweza kuishia kuwa kichaa..na kuna vichaa wengi sana ambao wametokana na hiyo hali.

Binafsi natoa hyo elimu bure kabisa,kwa muhitaji..
 
Hayo yote yanapo kutokea,the only thing unaweza kufanya ni ku surrender...Never resist..hivyo kuna namna ya kusurrender kwa kufanya Meditation na Yoga..maana Resisting ni mwili unafanya automatically bila ridhaa yako...sasa una utrain mwili ku calm down kwa kufanya Yoga ama Meditation
 
kuamka kiroho siyo lelemama aisee,siyo jambo la kiimani,,,ni jambo halisi linalotokea kwenye akili na mwilini [Emotionally and physically] l.

Kuna namna unatakiwa kufanya ili hyo hali ipite vizuri,hapo ndo utasikia kitu kinaitwa Meditation..unapaswa uijue meditation inavyo fanyika.uki mess up unaweza kuishia kuwa kichaa..na kuna vichaa wengi sana ambao wametokana na hiyo hali.

Binafsi natoa hyo elimu bure kabisa,kwa muhitaji..
Nipe hii elimu tafadhali
 
Nipe hii elimu tafadhali
Mkuu hili ni somo pana kidogo,kwa kuandika ni vigumu kidogo..watu kadhaa nilio wasaidia ni kwenye session za simu...na wale ambao tunaonana physically.

Utaweza kufahamu kuamka kiroho ni nini?

Dalili za kuamka kiroho,

Sababu za kuamka kiroho,

Madhara yake,,

Faida zake,,

Unajua watu wengi wanachanganya mambo ya imani ya kikanisani na kuamka kiroho,ni vitu viwili tofauti..

Kuamka kiroho ni hali halisi ambayo unaifeel kupitia akilu na mwili wako unakupa signals...

Ukiipata hii elimu,hata kwa mtu ambaye bado hajaamka kiroho,unaweza kufanya mambo kadhaa ikiwemo yoga na meditation ukaamka kiroho..

Lakini pia kuna sababu baadhi ya watu huamka kiroho automatically,hao tunasema wamebarikiwa..na hawa mara nyingi huamka kwa sababu kadhaa,,moja ni mapito magumu aidha kufiwa na mtu wa karibu sana ama mtoto ama mzazi...egoic mind automatically ina collapse haiwezi kuhandle ile hali,unabaki uchi kabisa..

Pia kuna wale huamka kiroho kwa kutumia psychedelic drugs ikiwemo bangi na mushrooms special.

Wanao ishia kuchanganyikiwa ama kupata ukichaa ni wale ambao wameamka kiroho halafu hawaelewi kile kinacho endelea kwenye akili zao ama mwili wao,,kuna alot of strange issues zinatokea...


Ni somo pana sana,nimepitia hyo hali binafsi...na nikavuka..so nkaona niwasaidie wahitaji for free..japo kuna watu wengine wanachaji pesa
 
Back
Top Bottom