Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
yeah kina fifi(fiona)wana vitabu wanauza na kuonana nao ni pesa! Hii imekaa poa ukipata muda naomba nipate aomo kiundani zaidi natamani kujua what hapoen next!Mkuu hili ni somo pana kidogo,kwa kuandika ni vigumu kidogo..watu kadhaa nilio wasaidia ni kwenye session za simu...na wale ambao tunaonana physically.
Utaweza kufahamu kuamka kiroho ni nini?
Dalili za kuamka kiroho,
Sababu za kuamka kiroho,
Madhara yake,,
Faida zake,,
Unajua watu wengi wanachanganya mambo ya imani ya kikanisani na kuamka kiroho,ni vitu viwili tofauti..
Kuamka kiroho ni hali halisi ambayo unaifeel kupitia akilu na mwili wako unakupa signals...
Ukiipata hii elimu,hata kwa mtu ambaye bado hajaamka kiroho,unaweza kufanya mambo kadhaa ikiwemo yoga na meditation ukaamka kiroho..
Lakini pia kuna sababu baadhi ya watu huamka kiroho automatically,hao tunasema wamebarikiwa..na hawa mara nyingi huamka kwa sababu kadhaa,,moja ni mapito magumu aidha kufiwa na mtu wa karibu sana ama mtoto ama mzazi...egoic mind automatically ina collapse haiwezi kuhandle ile hali,unabaki uchi kabisa..
Pia kuna wale huamka kiroho kwa kutumia psychedelic drugs ikiwemo bangi na mushrooms special.
Wanao ishia kuchanganyikiwa ama kupata ukichaa ni wale ambao wameamka kiroho halafu hawaelewi kile kinacho endelea kwenye akili zao ama mwili wao,,kuna alot of strange issues zinatokea...
Ni somo pana sana,nimepitia hyo hali binafsi...na nikavuka..so nkaona niwasaidie wahitaji for free..japo kuna watu wengine wanachaji pesa
Maana hii elimu nimekuja kuisikia na utu uzima huu zamani hakukuwa na mambo haya sijui mitandao ndio imetusogeza huku hata sielewi ila naona tumefika mbali namimi ni mmoja kati ya wanao changanya mediation na spiritual way ya kanisani.. msaada zaidi please!