Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Unakuta mtu jitu zima mwaume unapost picha na memes stutus
 
Naview zotezote tu ila sio za motivesheno spika, hamna memes au status zisikubali kama za motivesheno quotes.
Napenda utani na hayo maujinga mnayoyachukia mlio serious na maisha😂😂.
 
sio kweli, bongo ujinga ndo wanau-view kama nini labda umechanganya... sema hiyo mentality inatokana na aina ya watu ambao ndo contacts zako. Kwa mfano cycle yako ni ya vijana wa kisasa alafu uwe unapost masuala ya siasa zako utaona kama kuna mtu ataview watu wanataka show offs, memes n.k
 
Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
Kwa taarifa yako ujinga unapendwa zaidi...mfano mzuri uzi wa kimasihara una wachangiaji wengi kuliko uzi wa elimu na siasa au mambo ya tech.
 
Kama ulikua una ka ujumbe unataka kafike kwa mtu utafatilia tuu kama ameview
Hiyo ni tabia ya kipumbavu na ya kiswahili uswekeni huko, kama nina deal na wewe nitakufuata live nikuchane, hayo ya kukuwekea status ni masuala ya kikike.
 
Back
Top Bottom