Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Viewers? Seriously?? Nimejisikia aibu mimi. [emoji36]
 
Nawapenda sana wapost memes, bad luck nina wawili tu…
Mmoja anamix nguo zake anazouza na memes…

Mmoja mpaka ajisikie sasa dah! Carleen
😄😀😀 zikiwa chache sio mbaya ila sasa 15+ mim labda video ndio huwa nazifurahia
 
Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
Kwahiyo Post za kula tunda kimasihara zinazopata watu wengi sana ndizo bora sana!
 
Nawapenda sana wapost memes, bad luck nina wawili tu…
Mmoja anamix nguo zake anazouza na memes…

Mmoja mpaka ajisikie sasa dah! Carleen
Kuna mangi mmoja anauza simu za accessories nyingi huyu jamaa anapost biashara na memes Sasa mi mpenzi wa memes huwaga sijui anazitoa wapi haswa za Kenya nacheka balaa hata nikiwa alone najikuta nacheka pekeangu napenda kuaona akipost sometime katika kupitia kachanganya na bidhaa nikaona na simu nikaipenda nikanunua jamaa mjanja sana
 
Afadhari yangu!
Tangu nijunge na JF sijawahi kupost cho chote zaidi ya ku comment kwenye post za watu!
 
Nawapenda sana wapost memes, bad luck nina wawili tu…
Mmoja anamix nguo zake anazouza na memes…

Mmoja mpaka ajisikie sasa dah! Carleen
Kuna shost mmoja nitakupa no yake naye nitampa yako asave uwe unaangalia memes zake.

Yaan kama una stress siku yako inabadilika maana zinachekesha adi unajiuliza watu wanatoa wapi hivyo vichekesho😂😂
 
Kuna shost mmoja nitakupa no yake naye nitampa yako asave uwe unaangalia memes zake.

Yaan kama una stress siku yako inabadilika maana zinachekesha adi unajiuliza watu wanatoa wapi hivyo vichekesho😂😂
Afu namsave aunt memes 🤣🤣🤣

Wapost memes wanatuburudisha sana..
 
Back
Top Bottom