Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Watu bhn watu wanatofautiana wengine wanapenda kupost mambo ya dini wengine jokes wengine siasa angalia unachopenda upendi pita hivi usicomplicate maisha kiasi hicho.Sio kila unachopenda wewe wengine wanapendaa
 
WhatsApp status ni platform nzuri ya kupata taarifa haraka hasa zile muhimu mfano msiba au mwana anataka kuvuta jiko au kuna mgonjwa au mtu wa karibu kapata ajali ni sehemu nzuri ya kutoa taarifa kwa watu wengi kwa mda mchache sema kuna watu wanaitumia vibaya wanawake hamna shida ila mwanaume kila wakati unajopost na kutoa ulimi nje something isn't ok in your mind tulikubaliana status ni wanawake tu.
 
Usijkite kujadili events bali tumia muda wako kujadili issues!
 
Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
Status forbfunny
 
Status ni jokes usiweke maisha Yako real waty wako wa karibu ni wabaya sana usiwe unajipost kila SAA kama umepotea
JamiiForums-2057882814.jpg
 
Na sinaga pia hata mda wa kuangalia status kwakeli 😅😅😅
Me sometime nasahau kuangalia na siku zingine nikiwa nimetulia naangalia zotee.

Hapa nina kama week sijapost status, wacha leo nijipost #fbf😅
 
Me sometime nasahau kuangalia na siku zingine nikiwa nimetulia naangalia zotee.

Hapa nina kama week sijapost status, wacha leo nijipost #fbf😅
😁😁 Post fahari ya macho .. sasa niingie kulala hapa
 
Kuna huyo mmoja ilikua kila ikifika alhamis anajipost tbt picha nyingiiiiii 10+ hapo bado siku zingine memes 20+ sasa picha zinajirudia hadi unawaza kwani lazima kujipost??
Nikapata tu mashaka ikabidi nifute no zake maana sikumuelewa.
Inashangaza sana na hata Maisha ya sasahv Mwanaume hasa unapata wapi huo muda
 
Back
Top Bottom