Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Halafu na wewe eti una mke,unashindania kupata views za status mtoto wa kiume tukikuita Juma Lokole tutakukosea heshima?Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga