Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

[emoji3][emoji3] mnafanya maisha magumu !! Barua zetu ofisini mnazikataa, biashara hamtuungishi ona sasa mmegeukia na kwenye memes !! [emoji3] whatsapp status ni sehemu ya kufurahia
Nani kaoa au kaolewa! Msiba , nani kajenga !!
FB_IMG_1647106298185.jpg
 
Kuview status ni burudani tosha,sio kwamba hawaangalii bali wameficha kuwaona wakiangalia
 
Nawapenda sana wapost memes, bad luck nina wawili tu…
Mmoja anamix nguo zake anazouza na memes…

Mmoja mpaka ajisikie sasa dah! Carleen
Haha..!
Nilikuwa mpost memes maarufu, on my birthday watu wakanisimanga kwamba sasa nimekuwa nitafute mume niolewe niachane na habari za memes,
Nami nikawaahidi kuwa nitabadilika, sitawaangusha.!!
 
Hivi nawaona vp walioview status yangu?!!!

Sorry, mi mgeni mjini hapa!
 
Kuna huyo mmoja ilikua kila ikifika alhamis anajipost tbt picha nyingiiiiii 10+ hapo bado siku zingine memes 20+ sasa picha zinajirudia hadi unawaza kwani lazima kujipost??
Nikapata tu mashaka ikabidi nifute no zake maana sikumuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mambo ya maana mambo gani? Tatizo la watanzania ujuaji ni mwingi sana kila mtu ana preferences zake tusiwe serious sana na maisha wewe unaweza kusema ukiweka mambo ya yesu au Muhammad ni mambo ya maana kuna wengine kumbe hawapend wanakuona unapost ujinga wao wanapenda uposti report za CAG,unaweza kupost mambo ya sayansi ukahisi mambo ya maana kumbe kuna mtu tena ana heshima zake na wadhifa katika maisha yeye anapenda memes..tusiwe serious sana na maisha jamani
Ahsanteeeeh
 
Haha..!
Nilikuwa mpost memes maarufu, on my birthday watu wakanisimanga kwamba sasa nimekuwa nitafute mume niolewe niachane na habari za memes,
Nami nikawaahidi kuwa nitabadilika, sitawaangusha.!!
😂😂😂😂 masimango hayaui bana, kazi za memes na ziendelee
 
Miezi imekata na walasijaweka kitu kwenye stutus na Wala cpendi kuview status za watu isipo kuwa demu huwa nwmuwunda kumla tu ndio nitacheki lkn wanaume
 
Back
Top Bottom