Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

Attachments

  • IMG_20220526_205433.jpg
    IMG_20220526_205433.jpg
    8.4 KB · Views: 37
Bora ni view picha ila sio ma video hayo ndio yanayotafuna bando kama mchwa
 
Ukimwona Mwanaume yeyote anajipost in Status, kuwa na mashaka nae, huyo ana tatizo mahali au stress iliyokomaa.
Kuna huyo mmoja ilikua kila ikifika alhamis anajipost tbt picha nyingiiiiii 10+ hapo bado siku zingine memes 20+ sasa picha zinajirudia hadi unawaza kwani lazima kujipost??
Nikapata tu mashaka ikabidi nifute no zake maana sikumuelewa.
 
Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
ukikosa views unakufa??
 
Kuna huyo mmoja ilikua kila ikifika alhamis anajipost tbt picha nyingiiiiii 10+ hapo bado siku zingine memes 20+ sasa picha zinajirudia hadi unawaza kwani lazima kujipost??
Nikapata tu mashaka ikabidi nifute no zake maana sikumuelewa.
😀 😀
 
Back
Top Bottom