Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

2021 Tanzania iliondokewa na kiongozi mzalendo,mchapakazi na alieipenda nchi na wananchi wake kwa moyo wake wote.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondelea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.

Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE.

Leo sukari shida miaka nenda rudi UTAFIKIRI TANZANIA HAINA MAENEO YA KULIMA MIWA TUKAPATA SUKARI KWA WINGI MPAKA TUUZE NJE YA NCHI TUPATE DOLA.

UKISHANGAA YA MUSA.........
TAKATAKA KULIKO WOTE.
DIKTETA
JOGA
 
Tatizo ni utamaduni wa kupenda watu wenge kupenda sifa. Lakini mawaziri wazuri wapo. Bashe ni mzuri, Bitego mzuri, waziri wa elimu , afya ummy mzuri.

Wabaya wapo wengi

Nape, January, mwigulu, Kikwete hawa ni zero
 
Huyu jiwe alikuwa muuaji, mporaji, mtekaji na mpiga risasi. Asitajwe tena hapa JF.

Atakayemtaja atapigwa ban ya maisha hapa JF.
Hakuna Rais asiye ua, pora, na kuteka. Wanazidiana viwango tu.
 
Huyu jiwe alikuwa muuaji, mporaji, mtekaji na mpiga risasi. Asitajwe tena hapa JF.
Wewe ni Muongo
Atakayemtaja atapigwa ban ya maisha hapa JF.
Waanze na wewe
SIYO SABABU HATA MAGU ALIKUWAJIZI ILA MCHAPAKAZI

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondelea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Mnateseka sana.

Hebu someni tena

John Pombe Magufuli

Hayati Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Itoshe ameandikwa karibia na vyombo vikuu vingi vya habari Duniani kama Rais aliyeleta matumaini na kuiweka Tanzania imara Kiuchumi

Nyie mmeandikwa wapi?

...Na hakuna hata chombo kimoja kimeandika upumbavu wenu, na nye nye nye zenu za kutunga hakuna!

Mnaamka, Mnalala and there is absolutely nothing you can do kubadilisha aliyoyafanya.

Mtabakia kuwa na vinyongo na makasiriko. Na mzeeke na vinyongo na makasiriko.
 
Nenda mahakamani au peleka popote unapohisi utasaidiwa usiishie hapa tuachieni mtu wetu apumzike
Mwizi, muuaji, mtekaji, mporaji na mpiga watu risasi huwa hapumziki. Yuko motoni muda huu.

Hakuna haja ya mahakama.
Mungu ameamulia ugomvi....by Nape Nnauye
 
Inasikitisha, alisema vita ya kiuchumi ni ngumu, kaondolewa katika uso wa dunia, tunamlilia, lailti angefufuka. Gwagima hebu fanya kazi yako ya kufufua.
 
Back
Top Bottom