kwa sababu maalumuHivi jose kwanini huwi wa kwanza tena?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kwa sababu maalumu
Nataka kuona za kiunoni kwanza ndio nitajaribu kujibu swali lako mkuu.
Nawasilisha.
Namba 5 utakuwa msambaa weweSifa nzuri ni
1.Ustaarabu sana
2.Upendo kiasi
3.Ukarimu ndio usiseme
4.Uzalendo kwa mbali
Sifa mbaya (japo ndio home lakini)
1.wivu wakisenge, unakuta jirani anaona wivu kisa mtoto wajirani kafaulu au anawajengea wazazi wake.. Basi ndio mwanzo wakupigana juju... Usenge mtupu
2.uvivu haswa jirani zetu wadigo... Daaa hawa watu wavivu hatari... Vijiwe vya kahawa kutwa
3.Majungu na ujuaji mwingi hata wasiyoyajua wanajifanya wajuaji sana.
4.Umbea na unafki
5.umalaya haswa kabila langu(siwatajii)
6.Wanaridhika na maafanikio madogo
utawajua tu ukiwaonaWatu wa Tanga ni wavivu hatari
We mgeni humu!Kweli kabisa dada nawashangaa wanaoleta hekaya za wahenga za mwaka 47.
mgeni eee una pesa ya soda upewe utambulisho dj
Kiukweli Leo ndo nimeijua!
Hahahaaa. Huwa huifuatilii Dj. Teh tehKiukweli Leo ndo nimeijua!
vip kwani dj mbon umeikazania hii I'dKiukweli Leo ndo nimeijua!