Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Sifa nzuri ni
1.Ustaarabu sana
2.Upendo kiasi
3.Ukarimu ndio usiseme
4.Uzalendo kwa mbali

Sifa mbaya (japo ndio home lakini)
1.wivu wakisenge, unakuta jirani anaona wivu kisa mtoto wajirani kafaulu au anawajengea wazazi wake.. Basi ndio mwanzo wakupigana juju... Usenge mtupu
2.uvivu haswa jirani zetu wadigo... Daaa hawa watu wavivu hatari... Vijiwe vya kahawa kutwa
3.Majungu na ujuaji mwingi hata wasiyoyajua wanajifanya wajuaji sana.
4.Umbea na unafki
5.umalaya haswa kabila langu(siwatajii)
6.Wanaridhika na maafanikio madogo
 
Umbea fanya utafiti utajua watu wa tanga wanapenda sana kujua habari za watu na wakikaa kwenye kikundi cha watu wanataka wao ndio wawe wasemaji wakuu
 
Wanajua ya down tu.....tena so mapenzi....maana mapenzi mtu hafundishwi...ila wao wanafunzwa mahaba...ndo mana anaweza kuwa na wanaume au wanawake kumi tofauti na akawafanya kila mmoja ajione yuko peke yake!
Hawana mapenzi wanajua mahaba tu!
Tatizo wengi hawajui kutofautisha hivi vitu viwili ....
 
28277108_755906537928084_7100629352439966663_n.jpg

Nawasilisha.
Nataka kuona za kiunoni kwanza ndio nitajaribu kujibu swali lako mkuu.
 
Umbea fanya utafiti utajua watu wa tanga wanapenda sana kujua habari za watu na wakikaa kwenye kikundi cha watu wanataka wao ndio wawe wasemaji wakuu
Hii nimeprove
 
Sifa nzuri ni
1.Ustaarabu sana
2.Upendo kiasi
3.Ukarimu ndio usiseme
4.Uzalendo kwa mbali

Sifa mbaya (japo ndio home lakini)
1.wivu wakisenge, unakuta jirani anaona wivu kisa mtoto wajirani kafaulu au anawajengea wazazi wake.. Basi ndio mwanzo wakupigana juju... Usenge mtupu
2.uvivu haswa jirani zetu wadigo... Daaa hawa watu wavivu hatari... Vijiwe vya kahawa kutwa
3.Majungu na ujuaji mwingi hata wasiyoyajua wanajifanya wajuaji sana.
4.Umbea na unafki
5.umalaya haswa kabila langu(siwatajii)
6.Wanaridhika na maafanikio madogo
Namba 5 utakuwa msambaa wewe
 
Tanga yetu imesheheni wadada warembo, walionona, wanaojua wajibu wao, wanaojua dini zao na warembo zaidi kwa Tanzania nzima hii.
 
Back
Top Bottom