The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa,
Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani,
Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi cha kushindwa kumuelezea kama ni mkimya au msemaji.
Nne, amefanikiwa kubomoa mtandao wa Magufuli na kujenga wake.
Tano, ameweza kuitangaza na kuineemesha Zanzibar kiasi cha kuonyesha uzalendo usio kifani.
Sita, ameweza kuitangaza Kizimkazi na kufifisha Chato.
Saba, ameweza kuwainua wasanii hata kuliko wana taaluma.
Ongeza lako tafdhali.