bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
sasa ulitaka ile ya JPM asiiendeleze aanzishe ya kwake, ni ujinga gani huo wakati serikali ndiyo hiyo hiyo? Miradi yenyewe ya JPM ni mikubwa sana iliyofilisi mpaka baadhi ya wafanya biashara.Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
Halafu nyinyi ndiyo mungepiga kelele nyingi kuwa fedha za serikali zinatumika visivyo.
Halafu miaka yenyewe ni minne ulitarajia afanye maajabu ambayo hayajafanyika kwa muda wa miaka 55 ya utawala wa Tanganyilka.