The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Haya ni maendeleo?Kumuweka ndani yule mropokaji.
Mimi sio mwanasiasa ila amefanya mengi sana. Naweza hata kujaza kitabu. Sema hayatangazamwi ndo shidaTwaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa,
Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani,
Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi cha kushindwa kumuelezea kama ni mkimya au msemaji.
Nne, amefanikiwa kubomoa mtandao wa Magufuli na kujenga wake.
Tano, ameweza kuitangaza na kuineemesha Zanzibar kiasi cha kuonyesha uzalendo usio kifani.
Sita, ameweza kuitangaza Kizimkazi na kufifisha Chato.
Saba, ameweza kuwainua wasanii hata kuliko wana taaluma.
Ongeza lako tafdhali.
Acha kukurupuka, hujasikiliza hotuba yake ya leo? Kama ungesilikilza na kutumia hata 10% ya ubongo wako. Ungegundua kuwa amekamilisha miradi ya Hayati Magufuli na Kukamilisha mingi yakwake.Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa,
Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani,
Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi cha kushindwa kumuelezea kama ni mkimya au msemaji.
Nne, amefanikiwa kubomoa mtandao wa Magufuli na kujenga wake.
Tano, ameweza kuitangaza na kuineemesha Zanzibar kiasi cha kuonyesha uzalendo usio kifani.
Sita, ameweza kuitangaza Kizimkazi na kufifisha Chato.
Saba, ameweza kuwainua wasanii hata kuliko wana taaluma.
Ongeza lako tafdhali.
Nawe umekurupuka. Hukujua nilichotaka kuwasilisha. Hivi, siku hizi hamfundishwi fasihi yarabi?Acha kukurupuka, hujasikiliza hotuba yake ya leo? Kama ungesilikilza na kutumia hata 10% ya ubongo wako. Ungegundua kuwa amekamilisha miradi ya Hayati Magufuli na Kukamilisha mingi yakwake.
Mbona tarakimu na maneno vinapishanaView attachment 3386332
π’π’π’
Tatizo hawa nyumbu wa lissu na lichama lao la chadema chakavu hawataki kukubali ukweli.......kukamilisha tu miradi ya magufuli, ambayo kimsingi ni yao sababu walikuwa pamoja, si jambo dogo. Mengine meeeengi ya kwake ameyafanya sema hizi kima zinajifanya hazioni.Acha kukurupuka, hujasikiliza hotuba yake ya leo? Kama ungesilikilza na kutumia hata 10% ya ubongo wako. Ungegundua kuwa amekamilisha miradi ya Hayati Magufuli na Kukamilisha mingi yakwake.
Ona hili lingese lililokosa kazi, mtafirimbwa na wabelgiji mpaka basi lakini hamchukui nchi hapa kupitia huyo shoga'enu mkuu.Mafanikio makubwa ya samia ni haya
1 pikipiki za samia
2 majiko ya gas ya samia
3 baiskeli za samia
4 kuwapa uhuru watumishi wa serikali bila kuwabana
5 kuzuia mabango na kusikiliza kero za wananchi
6 kusafiri sana
7 kuongeza mishahara
8 kuminya demokrasia ya kweli
9 utekaji n.k
10 mipasho
11 kushoot movie
12 kufukuza wamasai
13 dp world
14 matamasha kizimkazi
15 goli la mama
16 kuongeza deni la taifa mara mbili
17 kuporomoka kwa thamani ya shilingi
18 kuanzisha tozo nyingi na kupandisha bei ya vifurushi vya simu
19 chanjo za korona
20 kusain mikataba ambayo inahusu rasilimali za Tanganyika tu.
Yapo mengi kwa kwa kweli.
Duh!Mafanikio makubwa ya samia ni haya

Kima ni wewe, miradi mingi ya mzee magu, inajulikana, uzuri magu alikuwa mkweli sana, mfano kwenye mradi wa sgr magufuli alituambia hadi alipokopa hela za kukamilisha mradi huo, na kiwango kilicholipwa, na tunachodaiwa, na uwepo wa pesa za kumalizia mradiTatizo hawa nyumbu wa lissu na lichama lao la chadema chakavu hawataki kukubali ukweli.......kukamilisha tu miradi ya magufuli, ambayo kimsingi ni yao sababu walikuwa pamoja, si jambo dogo. Mengine meeeengi ya kwake ameyafanya sema hizi kima zinajifanya hazioni.
Nakutahadharisha tu kuhusu barua zenye nembo za serikali, utakuja kujikuta pabaya bure mdogo wangu usisambaze hivyo vitu.π’π’π’
Umesahau kuongeza na chawa wa samiaπππππππππππMafanikio makubwa ya samia ni haya