Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
sasa ulitaka ile ya JPM asiiendeleze aanzishe ya kwake, ni ujinga gani huo wakati serikali ndiyo hiyo hiyo? Miradi yenyewe ya JPM ni mikubwa sana iliyofilisi mpaka baadhi ya wafanya biashara.

Halafu nyinyi ndiyo mungepiga kelele nyingi kuwa fedha za serikali zinatumika visivyo.

Halafu miaka yenyewe ni minne ulitarajia afanye maajabu ambayo hayajafanyika kwa muda wa miaka 55 ya utawala wa Tanganyilka.
 
Sijasema usemavyo. Nimeshangaa mradi wake wa machawa
 
Sawa.
Ni Rais wa hovyo kabisa. Lakini usisahau huna uwezo wa kuondoa hadhi yake kuwa ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu licha ya kashfa zoote hizo
 
Nothing
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Gwajiboy kuna siku alitoa ushauri mzuri sana kuhusu taasisi ya uraisi. Alisema wakati umefika kila Rais anaeingia madarakani anapaswa kuendeleza pale alipoishia mtangulizi wake badala ya kuanzisha miradi mipya. Mama Samia alitekeleza kwa vitendo ushauri ule uliotolewa na Gwajima kwa kuhakikisha anakamilisha miradi yote ambayo ilianzishwa na mtangulizi wake (Magufuli) kwa hiyo angeanzisha miradi mipya na kuiacha ile iliyoanzoshwa ingekuwa pesa zimepotea. Mnajua kakamilisha bwawa LA Nyerere, SGR n.k kwa hiyo wale wanaombeza mama mimi siwaelewi!!!! Hata Magu angeendeleza alipoishia Kilwete maana yake tungeona lakini kwenda zake akatelekeza mengi ya mtangulizi wake. Kongole Mama Samia.
 
Amelea na kukuza ufisadi hasa kwa watu wake wa karibu
 
Yaani ni majanga matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…