Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #101
Tafsiri yako ya mafanikio ina walakini.vita hushindiwa kwa kushinda mapambano madogo madogo ,hivyo israel juiingilia vifaa vya mawasiliano vya kilebanoni na kuvilioua na kupelekea opponent wake kujeruhiwa na wengine kufa hayo ni mafanikio sana kwake,tuwe wa wazi.
Angalia basi,Kutaka umuue mpinzani wako kwa kutumia silaha uliyodhani itafanya kazi hiyo kirahisi na halafu silaha hiyo isifanye hivyo .Na bado adui yako akainuka na kuendelea kukurushia madude yake.Tuwe wawazi tu hilo shambulio linaitwa halikufanikiwa,bali lilileta taharuki tu kwa adui na kumpa fursa za kujilinda zaidi.