Mossod tukio liliwapq eshima au mishen bola ilifanikiwa kimbinu kiakili kijasus ni ile ya mkuu wa nishat ya atomic iran. Ile kitu kama kweli walicheza wao sio vijana w cIA basi pale tumewapa mauwa yao,.lkn iyo ya Lebanon akuna kitu wanatapatapa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je Israhell wana lala usingizi salama pamoja na yote hayo? Kila siku raia wanakimbia nchi huu mziki sio wa siku moja au mbili hili goma ni la muda mrefu hivyo ajiandae tu hakuna atachowafanya hizbo pamoja na us wake wale wapo tuu na nightmare kwa myahudi sasa na haouth kajoin Chenizaidi ya kuaminiana, Israel imewekeza hela nyingi sana kwenye intelijensia. wamewanunua walebanoni wengi sana na wengine hezbollah kabisa wanapata mgao na kutoa siri na wapi maadui wapo na nini kinapangwa, ukiachilia kudukua simu zaol hata Gaza ni hivyo hivyo, kuna wapalestina wengi wanapata mgao hadi leo na kutoa siri ikizingatia vibarua wengi hata kwenye makazi ya walowezi wanayojenga ni wapalestina, vita ilipoanza walipiga marufuku hakuna kwenda kuomba kazi kwa wayahudi, walewale wamekuwa mosad kutoa siri. kama unakumbuka, kuna kipindi hamas wame execute wapalestina wengi tu kwa kutoa siri kwa israel. hadi Iran kuna mamluki. hivyo kila kinachoendelea kule lebanon israel wanajua.
shambulio la jana, viongozi karibia 20 wa hezbollah kwa siri walikutana kwenye jengo kufanya kikao, israel wakapewa taarifa na mamluki wao wa mule mule lebanon, wakapiga jengo zima na kuua viongozi hao pamoja na raia wengine kawatoa kafara. ukiwa na pesa unaweza kufanya intelijensia kubwa mno. kwani hata pagers, walijuaje kama wameagiza taiwan? si waliagiza kwa siri, unafikiri walitangaza tender? NO, ilikuwa kwa siri ila israel walijua kila kinachoendelea. bora kutumia pesa nyingi kwenye intelijensia na ulinzi ili ulale usingizi salama kuliko kutumia pesa kwenye mambo mengine. ndivyo wanachofanya.
Israel ina population ya watu mil 9.5 takwimu za 2022 na square kilometers 22,145 tu. Eneo dogo watu wengi. Wasipotumia teknolojia, na akili nyingi na wakae kizembe, huku ukizungukwa na maadui, wanakufuta katika ramanj ya dunia. Nao wamegoma kufutwa katika ramani ya dunia. Tungoje kuche tuone mshindi.Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona
UN warns of escalating violence in the Middle East as ‘communications tools become weapons’
Hata kama jamaa ni mbumbumbu ila acha dharau. Dah, nikecheka kama mazuri. 😀😀😀Una maanisha waliouwawa ni wachache hawazidi watu 100, alafu waliokufa pia sio hezbullah na kikubwa zaidi ni kuwa Israel imefeli na hao wavaa kobazi wanazidi kuipiga Israel na kuharibu miundombinu. Hizi ni story za msikitini mkiwa mmeshiba kitimoto na ndizi mnazokula kwa kijificha. Ninachojua Gaza imechakazwa vibaya mno imekuwa kifusi na mbinu ilizotumia Israel kupiga Gaza ndani ya majengo soon itaanza kufundishwa kwenye majeshi mbalimbali ulimwenguni. Hiyo herzibullah kamanda wao aliyekuwa anatafutwa tangu 1983 ameuliwa na wayahudi akiwa kwenye maficho. Kingine Israel inaweza kumuua hayatollah muda wowote ikiamua.
😀😀 inasikitisha. Acha dharau lakini mkuu.Akili za wenzetu wengi, ni za kulia tende na maziwa ya ngamia
Israel asiyelala usingizi na wewe kobazi unaelala usingizi mpo sawa umemshinda nini mbona nchi yake bado ipo vizuri kiuchumi, kiteknolojia, na ni watu wenye furaha lakini nyie kobazi mnaepata usingizi ndio mnaongoza kulalamika na kulia ndugu zetu wapalestina wanaisha, hawana chakula, huko lebanon wamefanyiwa shambulizi la kinyama umewahi kumuona myahudi analia lia kutafuta huruma za duniaJe Israhell wana lala usingizi salama pamoja na yote hayo? Kila siku raia wanakimbia nchi huu mziki sio wa siku moja au mbili hili goma ni la muda mrefu hivyo ajiandae tu hakuna atachowafanya hizbo pamoja na us wake wale wapo tuu na nightmare kwa myahudi sasa na haouth kajoin Cheni
hawalali usingizi mzuri kwasababu pembeni kuna hezbollah na upande huu hamas. ndio maana wameimaliza hamas na wamesema hawawezi kuacha lazima waimalize hezbollah hawawezi kulala usingizi wakati kuna nyoka karibu na geti.Je Israhell wana lala usingizi salama pamoja na yote hayo? Kila siku raia wanakimbia nchi huu mziki sio wa siku moja au mbili hili goma ni la muda mrefu hivyo ajiandae tu hakuna atachowafanya hizbo pamoja na us wake wale wapo tuu na nightmare kwa myahudi sasa na haouth kajoin Cheni
Kwahiyo TAIFA LA ISRAEL UNALIFANANISHA NA TAIFA LIPI KWA TECHNOLOJIA HAPA DUNIAN acha ujinga
Kazi inaendelea. Juzi wameng’oa jicho balozi gaidi wa ayatollahToka mwaka Jana hili Taifa teule si wawafyekelee mbali Tu hawa wavaa kobazi,au na wao wamechemka
Bibi unashauri tufanye nini?!Simu zote. Mkononi ni silaha, zinaweza kufyatuliwa kutokea mbali na wenye hiyo siri.
Hakuna aliye salama.
Teh! Sijui niseme nn ila huwa natamani Israel ashambulie na humu jamii forum aue haya magaidi vijidagaa ya humu kwenye forumUna maanisha waliouwawa ni wachache hawazidi watu 100, alafu waliokufa pia sio hezbullah na kikubwa zaidi ni kuwa Israel imefeli na hao wavaa kobazi wanazidi kuipiga Israel na kuharibu miundombinu. Hizi ni story za msikitini mkiwa mmeshiba kitimoto na ndizi mnazokula kwa kijificha. Ninachojua Gaza imechakazwa vibaya mno imekuwa kifusi na mbinu ilizotumia Israel kupiga Gaza ndani ya majengo soon itaanza kufundishwa kwenye majeshi mbalimbali ulimwenguni. Hiyo herzibullah kamanda wao aliyekuwa anatafutwa tangu 1983 ameuliwa na wayahudi akiwa kwenye maficho. Kingine Israel inaweza kumuua hayatollah muda wowote ikiamua.
Si mchezo, Unaikumbuka Stuxnet?Aisee wewe ndio una jua stategy za kivita, pages kulipuliwa haikuwa ili wafe watu, hiyo ilikuwa trick ya kumchanganya adui zaidi, kwa sasa bila shaka wao kwa wao hawaaminiani tena, hawa wasiliani tena maana hakuna anaekubali kuwa jirani na walkie-talkie wala pages, simu ndio kabisa Mosad ndio hackers wa kimataifa, mataifa mengi huenda Israel kununua hizo tech ili kufatilia mawasiliano, imagine Israel anatumia satellites kupiga picha hadi ya kitu kilicho na cm30 ardhin na kinaonekana, so jamaa kwa sasa wesha kabwa kote kote, wacha wapoteane vita za kisasa sio za kupigana uso kwa uso. Japo iran wako vzr kwenye cyber attacks ingekuwa mifumo ya Israel iko weak wangekuwa washapoteana, tusingesikia wakilenga mashambulizi yao na yakapata targets
Wewe ndo msemaji wao?Naamini israel imeshaona kwamba imetumia nguvu kubwa kwa mafanikio madogo.Utaalamu wa kufungua na kusoma mifumo ya kielektronic wanao sana Hizbullah na mshirika wao Iran na ikibida wanaweza kuvuka mipaka mpaka Urusi na Korea kaskazini.Tangu shambulio hili lifanyike uidhani wamelala tu.
Ni kweli kabisaUna maanisha waliouwawa ni wachache hawazidi watu 100, alafu waliokufa pia sio hezbullah na kikubwa zaidi ni kuwa Israel imefeli na hao wavaa kobazi wanazidi kuipiga Israel na kuharibu miundombinu. Hizi ni story za msikitini mkiwa mmeshiba kitimoto na ndizi mnazokula kwa kijificha. Ninachojua Gaza imechakazwa vibaya mno imekuwa kifusi na mbinu ilizotumia Israel kupiga Gaza ndani ya majengo soon itaanza kufundishwa kwenye majeshi mbalimbali ulimwenguni. Hiyo herzibullah kamanda wao aliyekuwa anatafutwa tangu 1983 ameuliwa na wayahudi akiwa kwenye maficho. Kingine Israel inaweza kumuua hayatollah muda wowote ikiamua.
Nilishakwambia Njia ya kuishi uwe na furaha ni kukubali Israel ina Mungu mwenye nguvu. Tulia tuijenge Tanzania yetuMashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona
UN warns of escalating violence in the Middle East as ‘communications tools become weapons’
Mambo ya Cyberwarfare under operation olimpic gamesSi mchezo, Unaikumbuka Stuxnet?