Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

ukanda ule kama hauelewi, unaweza kuona mtu anauza matunda sokoni ila ni mwanajeshi hatari sana wa hezbollah au hamas. mwingine unamwona anaendesha ambulance ila ni komandoo mkubwa mwenye mafunzo, waligawiwa hata hao wa sokoni, kama waliwapa watoto wao hiyo haiondoi ukweli kwamba vilipitia mikononi mwao.

ila wengi hawana nyeti, si waliweka mfukoni, zimefyekwa.
Kama zilikuwa 5000 zilizoripuka ni nusu tu na zilizoua ni chini ya mia na majeruhi hali mbaya ni 152 na waliolazwa na kutolewa warudi nyumbani ni karibu nusu na robo.
Shambulio kama hilo ni kufeli na kumtia hasira adui ajipange zaidi na wala si kumnyamazisha kama ilivyokusudiwa.
 
Saivi middle East wanafanya oda za kutosha kununua electronics china wanaanza kumuv bidhaa za Western hio kibiashara brand za watu zinaenda kufa kwa ujanja wa hao mossad
Devices zilitoka japan mkuu , wadau wakabadilisha mzigo CEO mjapan alienda mpaka beirut akasema ule mzigo sio wao ni fake japo uns nembo ya kampuni yao ila security marks kibao hazipo ,
 
hivi, adui zako 152 wakijeruhiwa hiyo ni failure? vifo vingi wameficha, hadi makamanda wengine wamekufa kwenye pagers. sasa, hao 5,000 wote sasaivi wakiona kitu chochote cha kielectronic watakuwa wanakikimbia, magari watang'oa radio kwasababu hata radio za kwenye magari zinalipuka, no tv, no smartphone, no laptops, no kitochi. watarudi kulekule mawasiliano kwa njia ya barua. walichokuwa wanataka israel ni kuwatia kiwewe ili washindwe kuungana kwasababu bila mawasiliano kuna chain kubwa sana ya muunganiko inakatika. wamefanikiwa pakubwa mno.
 
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona

UN warns of escalating violence in the Middle East as ‘communications tools become weapons’

Kifupi tu sijui nikuite fala au mbumbumbu?
Chagua
 
Devices zilitoka japan mkuu , wadau wakabadilisha mzigo CEO mjapan alienda mpaka beirut akasema ule mzigo sio wao ni fake japo uns nembo ya kampuni yao ila security marks kibao hazipo ,
Ndicho nilichofikiria jinsi mzigo ulivyowafikia watu Lebanon.
Mchezo mkubwa ulichezwa bandarini.
 
hivi, adui zako 152 wakijeruhiwa hiyo ni failure? vifo vingi wameficha, hadi makamanda wengine wamekufa kwenye pagers. sasa, hao 5,000 wote sasaivi wakiona kitu chochote cha kielectronic watakuwa wanakikimbia, magari watang'oa radio kwasababu hata radio za kwenye magari zinalipuka, no tv, no smartphone, no laptops, no kitochi. watarudi kulekule mawasiliano kwa njia ya barua. walichokuwa wanataka israel ni kuwatia kiwewe ili washindwe kuungana kwasababu bila mawasiliano kuna chain kubwa sana ya muunganiko inakatika. wamefanikiwa pakubwa mno.
Lengo ni kuua wote,Ukifanikiwa kuua hao tu basi ni shambulio lililofeli.
Upande wa Hamas kwa hali zao za kutokuwa na silaha wakipata kuua askari watatu tu wa IDF inakuwa ni mafanikio makubwa,Vipimo hapa vinakuja kama hivyo kulingana na hali za kila mmoja.
 
lengo la israel sio kuua, wamelaumiwa na kuchukiwa sana na dunia, kukiwa na uwezekano wa kupunguza casualties huwa wanajitahidi kufanya hivyo. wayahudi wameua sana kiasi kwamba kuna wanajeshi wengine wamekuwa machizi kwasababu ya damu na kuvuta bange.
 
Haya unasema wewe, kwa hizo pagers na walkie talkies zilikuwa zinatumiwa na makamanda wa Hezbollah kuwasiliana.

Wao wakiona njia hiyo ni salama kuepuka mawasiliano yao kudukuliwa na kuingiliwa na shirika la ujasusi wa la Mossad.

Mossad alitengeneza kampuni hewa ambazo zilitengeneza hivyo vifaa vya mawasialiano. Na walihakikisha vinawafikia makamanda wa Hezbollah na sio raia wa kawaida. Order zilizolipuka ni za miezi mitano iliyopita na hizo kampuni zilizotengeneza hazipi tena. Hakuna trace.

Hapo bado kuna mashaka pia ya simu na laptop walizonazo hao Hezbollah. Kwa hiyo wamewashambulia na kushambulia njia za mawasiliano huku wakishambulia mfulululizo kwa ndege.

Wakiwasiliana kwa simu hapo ndio rahisi na itawa allocate zaidi, sijui watatumia njia gani wakati tayari mashambulizi yanaendelea.
Aisee wewe ndio una jua stategy za kivita, pages kulipuliwa haikuwa ili wafe watu, hiyo ilikuwa trick ya kumchanganya adui zaidi, kwa sasa bila shaka wao kwa wao hawaaminiani tena, hawa wasiliani tena maana hakuna anaekubali kuwa jirani na walkie-talkie wala pages, simu ndio kabisa Mosad ndio hackers wa kimataifa, mataifa mengi huenda Israel kununua hizo tech ili kufatilia mawasiliano, imagine Israel anatumia satellites kupiga picha hadi ya kitu kilicho na cm30 ardhin na kinaonekana, so jamaa kwa sasa wesha kabwa kote kote, wacha wapoteane vita za kisasa sio za kupigana uso kwa uso. Japo iran wako vzr kwenye cyber attacks ingekuwa mifumo ya Israel iko weak wangekuwa washapoteana, tusingesikia wakilenga mashambulizi yao na yakapata targets
 
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona

UN warns of escalating violence in the Middle East as ‘communications tools become weapons’

Hilo sio shambulio la aibu kwa israel ni shambulio la aibu kwa lebanon na kobazi wote limewadhalilisha israel imewaonyesha kobazi mpo chini sana kiteknolojia na kijasusi kama mnaweza kulipuliwa kupitia simu
 
Saivi middle East wanafanya oda za kutosha kununua electronics china wanaanza kumuv bidhaa za Western hio kibiashara brand za watu zinaenda kufa kwa ujanja wa hao mossad
Hata wangenunua simu burundi mitandao inadukuliwa tu myahudi ni level nyingine
 
Simu zote. Mkononi ni silaha, zinaweza kufyatuliwa kutokea mbali na wenye hiyo siri.

Hakuna aliye salama.
 
Walitaka hizbullah wote waliokuwa wanazitumia wafe lakini hawakufa wote isipokuwa wachache sana na wakafa na wasiohusika ikiwemo watoto
Walitaka Hizbullah washindwe kurusha makombora wanayoyaogopa na jioni yake wakaendelea kuyavurumisha.
Baada ya hezbollah kurusha hayo maroketi yao jana umeona majibu ya israel amejibu kwa mashambulizi makubwa ya ndege kaishambulia mpaka beiruti na kawaua makamanda wakuu wawili wa hezbollah na viongozi wandamizi wa hezbollah 16
 
Aisee wewe ndio una jua stategy za kivita, pages kulipuliwa haikuwa ili wafe watu, hiyo ilikuwa trick ya kumchanganya adui zaidi, kwa sasa bila shaka wao kwa wao hawaaminiani tena, hawa wasiliani tena maana hakuna anaekubali kuwa jirani na walkie-talkie wala pages, simu ndio kabisa Mosad ndio hackers wa kimataifa, mataifa mengi huenda Israel kununua hizo tech ili kufatilia mawasiliano, imagine Israel anatumia satellites kupiga picha hadi ya kitu kilicho na cm30 ardhin na kinaonekana, so jamaa kwa sasa wesha kabwa kote kote, wacha wapoteane vita za kisasa sio za kupigana uso kwa uso. Japo iran wako vzr kwenye cyber attacks ingekuwa mifumo ya Israel iko weak wangekuwa washapoteana, tusingesikia wakilenga mashambulizi yao na yakapata targets
zaidi ya kuaminiana, Israel imewekeza hela nyingi sana kwenye intelijensia. wamewanunua walebanoni wengi sana na wengine hezbollah kabisa wanapata mgao na kutoa siri na wapi maadui wapo na nini kinapangwa, ukiachilia kudukua simu zaol hata Gaza ni hivyo hivyo, kuna wapalestina wengi wanapata mgao hadi leo na kutoa siri ikizingatia vibarua wengi hata kwenye makazi ya walowezi wanayojenga ni wapalestina, vita ilipoanza walipiga marufuku hakuna kwenda kuomba kazi kwa wayahudi, walewale wamekuwa mosad kutoa siri. kama unakumbuka, kuna kipindi hamas wame execute wapalestina wengi tu kwa kutoa siri kwa israel. hadi Iran kuna mamluki. hivyo kila kinachoendelea kule lebanon israel wanajua.

shambulio la jana, viongozi karibia 20 wa hezbollah kwa siri walikutana kwenye jengo kufanya kikao, israel wakapewa taarifa na mamluki wao wa mule mule lebanon, wakapiga jengo zima na kuua viongozi hao pamoja na raia wengine kawatoa kafara. ukiwa na pesa unaweza kufanya intelijensia kubwa mno. kwani hata pagers, walijuaje kama wameagiza taiwan? si waliagiza kwa siri, unafikiri walitangaza tender? NO, ilikuwa kwa siri ila israel walijua kila kinachoendelea. bora kutumia pesa nyingi kwenye intelijensia na ulinzi ili ulale usingizi salama kuliko kutumia pesa kwenye mambo mengine. ndivyo wanachofanya.
 
Kama zilikuwa 5000 zilizoripuka ni nusu tu na zilizoua ni chini ya mia na majeruhi hali mbaya ni 152 na waliolazwa na kutolewa warudi nyumbani ni karibu nusu na robo.
Shambulio kama hilo ni kufeli na kumtia hasira adui ajipange zaidi na wala si kumnyamazisha kama ilivyokusudiwa.
Shambulio limefeli? Wajua sasa wale jamaa mifumo yao ya mawasiliano imevurugika? Maana yake adui anaweza kukushambulia kirahisi pale tu mkidhvurugana na kukosa mawasiliano, wakati wa vita ya Uganda, jwtz walipitisha ndege vita zikiwa kwenye hypersonic speed chini chini sana ile sonic boom ilisababisha taharuki kampala, vioo vilivunjika, adui alipoteana kisha ikawa rahisi kumshambulia je utasema sonic boom ilikuwa shambulio lililofeli? Sababu tu halikuleta vifo?
 
Attachments

  • CM5IVE.gif
    CM5IVE.gif
    662.2 KB · Views: 1
Acha ushabiki.
Hebu tuambie mafanikio yanakuwaje kama umekusudia kumpiga ndege lakini ukaishia kumpiga kumnyonyoa mabawa tu halafu anaruka juu ya mtu kukuangalia kwa chini akiuguza kidonda chake na kusubiri manyoya mengine yaote.
Sasa hezbollah waliojeruhiwa wamepoteza macho yote mawili, wengine wamepoteza makagari, wengine miguu, mikono hapo yataota nini vipi wewe kobazi mbona unajifariji kijinga hivi kiongozi wa hezbollah Nasrullah mwenyewe kakiri tumepata pigo kubwa wewe kobazi wa kwa mpalange unaleta faraja za kiduwazi
 
Jambo ili sio geni lkn umu vitoto vingi kama kawaida wanawapo promo wazayun kutega ktk battery vibom. kuna matukio mengine yametokea miaka na miaka yakushangaza zaid ya ili la kutengezeza battery zikiwa na vibom. Kuna mtu alikuwa akiitwa SHAH MASUD alikuwa kiongoz North alliance afghanistan tafuteni vijana mjue alikufa vip kisha ndio mje msifie ayo majinga ata samani ya amani awaijui. Wanauwa nao wanauwawa wangekuwa na akili wangetafuta aman.
 
yaani leo hii kobaz anakuja kusema myahudi yupo nyuma kitech au unataka kumaanisha nini.
 
Kila kitu myahudi kama kwamba wao ndio waumbaji wa binadamu.
Ndiyo ukweli teknolojia kubwa ni wao wamezigundua.

Ukiea mvivu wa kutafuta ukweli kila kiyu utaona ni uwongo.

Jiongoze kwa kutumia akili yako. Achana na mindset za dini!

Karibu!
 
Back
Top Bottom